Wale wenzangu wa Rungwe Boys the Champion

Wale wenzangu wa Rungwe Boys the Champion

Ignatius31

Member
Joined
Oct 11, 2017
Posts
57
Reaction score
18
Rungwe secondari,sitaisahau maana kwa hali ya hewa,miundombinu na shughuli za ujasiriamali kama,bustan,mabwawa ya samaki,mashamba ya migomba nguruwe na mchakamchaka vilikuwa vinanifanya nijisikie kweli Niko shule
 
Yah iko vzr sana hasa ujasiria Mali na michezo,,, mpk sasa hawana mpinzani hapa mtaani kwetu
 
Back
Top Bottom