Kurudishwa kazini baada ya kusimamishiwa mshahara

Jeff Albert

Senior Member
Jul 19, 2015
136
37
Wadau habari zenu? Mwalimu akiomba ruhusa kwenda masomoni akanyimwa akaamua kujiruhusu akaenda masomoni akirudi atakuwa amesimamishiwa mshahara je inawezekana akarudishwa tena kazini na kuanza tena kupokea mshahara au ndio atakuwa amejifuta katika system
 
Ili uweze kurudishwa kazini lazima uombe kibali upya kwa katibu mkuu kiongozi ambayo itakuchukua muda kidogo.
 
Msidanganye watu,wewe utakuwa bado ni mtumishi wa serikali na ndo maana huwezi ajiliwa tena mpaka ufukuzwe kazi na utumishi.
mambo ni halimashauri yako ndo yatakapoishia.
 
N

na je aliyefukuzwa kaz bila utumishi akasoma degree akaapply as fresh from schoo ,awezi ajiliwa means uhakiki wa mwaka huu s umefuta insu zote lawson n payroll au
 
Kitakachofanyika baada ya kutoroka ni kufukuzwa kazi kwasababu ya utoro kazini na utakuwa sio mtumishi,pia utakuwa umeondolewa kwenye orodha ya malipo.
 
Kama umeondolewa kwa payroll,je kama uhakiki wa mwaka huu haukuwepo kabisa vip watakuwa wamefuta inshu zote hadi kwa lawson,maana nilisikia maelezo ya kairuki kwamba wamefutwa kwenye serikali kuu na mfumo wa malipo lawson au we unaelewaje ,maana uhakiki wa mwaka huu ni shida
 
Kwenda kusoma na ukaondolewa payroll hyo unamalizana na TSD tu....labda kama umefukuzwa hapo ndo unaomba kibali cha chief secretary..
 
Msidanganye watu,wewe utakuwa bado ni mtumishi wa serikali na ndo maana huwezi ajiliwa tena mpaka ufukuzwe kazi na utumishi.
mambo ni halimashauri yako ndo yatakapoishia.

Mkuu hebu ona hili langu na unambie likoje..Niliondoka kwenda kusoma bila ruhusa na nikafutwa payroll....Niliporudi TSD wakanizungusha na wakati TSD wakiendelea kunisumbua nikaomba kibali cha chief secretary maana nilipata kazi sehemu nyingine shirika la umma....
Sasa TSD wanasema walipendekeza nifukuzwe kazi na mapendekezo waliyapeleka utumishi...Lakini wakati mapendekezo hayo yameenda kibali nkapata na nipo kazini kwa shirika la umma...
Swali langu je Utumishi wanaweza jibu tena mapendekezo ya kufukuzwa kazi ya tsd?
Na ikitokea wakajibu kuwa nifukuzwe wakati ile halmashauri nshahama inaweza niathiri huku nilipo?
 
Wakijibu mapendekezo ya kufukuzwa watakuta datasheet yako haipo tena kwenye halimashauri husika na idara hiyo kwahiyo watabaki wanashangaa tu.

Mi siyo mzoefu, lakini ninachowaza, ajira mpya haiingiliani kabisa na ajira ya zamani haswa unapokuwa umeshahamisha taarifa zako kutoka idara ya zamani kwenda idara mpya.
 
Back
Top Bottom