Wana mahesabu msaada wa haraka mambo yamekwama

Wana mahesabu msaada wa haraka mambo yamekwama

GISAMBO

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2014
Posts
1,218
Reaction score
1,988
Ni hiv nina amaount ambayo siijui (x) nataka niki izidisha mara 0.18 jibu lake ni jumlishe na hiyo amount ambayo siijui(x) nipate 378 msaada
Mfanya biashara nime kwama
 
Ilankunda umetisha nipe formla basi ndungu aya madude yana nitesa sana yan
 
Ni hiv nina amaount ambayo siijui (x) nataka niki izidisha mara 0.18 jibu lake ni jumlishe na hiyo amount ambayo siijui(x) nipate 378 msaada
Mfanya biashara nime kwama
Hence proved [emoji116] [emoji116] [emoji116]
 

Attachments

  • IMG_20180213_230403_329.jpg
    IMG_20180213_230403_329.jpg
    39 KB · Views: 67
Ilankunda umetisha nipe formla basi ndungu aya madude yana nitesa sana yan
Nikichukua hiyo namba x
Nikazidisha na 0.18 napata 0.18X
0.18×X=0.18X

Halafu hilo jibu nalijumlisha na X napata 1.18X
X+0.18X=1.18X

Halafu hilo jibu ni sawa na 378
Yaani

1.18X=378
Gawa kwa 1.18 kila upande ili upate thamani ya X

1.18X÷1.28=378÷1.18

X=320.338983

Hapo itategemea na matumizi yako.
Kama shida ni hiyo X basi unaweza kukarivisha kwenye viwango viwili.

Lakini kama inahusisha pesa basi itumie kama ilivyo.


Penye mapungufu wataalam wengine wanaweza ongezea
 
[emoji15] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] sio statistics hii kweli niliikimbia secondary sema nitajitahid niielewe kesho
 
[emoji15] [emoji56] [emoji56] [emoji56]
[emoji124] [emoji124] [emoji124] sio statistics hii kweli niliikimbia secondary sema nitajitahid niielewe kesho
Mkuu pitia formula hapo juu asee nimejitahidi kuichambua asee
 
Ulikuwa unatafuta ammount VAT inclusive. Bila shaka.
 
Nikichukua hiyo namba x
Nikazidisha na 0.18 napata 0.18X
0.18×X=0.18X

Halafu hilo jibu nalijumlisha na X napata 1.18X
X+0.18X=1.18X

Halafu hilo jibu ni sawa na 378
Yaani

1.18X=378
Gawa kwa 1.18 kila upande ili upate thamani ya X

1.18X÷1.28=378÷1.18

X=320.338983

Hapo itategemea na matumizi yako.
Kama shida ni hiyo X basi unaweza kukarivisha kwenye viwango viwili.

Lakini kama inahusisha pesa basi itumie kama ilivyo.


Penye mapungufu wataalam wengine wanaweza ongezea

Upo sahihi mkuu [emoji736][emoji736][emoji736][emoji736]
 
Back
Top Bottom