Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Jaman nina mdogo wangu yupo form 5 PCB anaitaji viatabu vya ngaiza sasa cjui na vipataje mwenyekujua na bei zake naombeni msaafa Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wadau naombeni msaada kwa anayejua garama za MA open university anisaidie. Asanteni
0 Reactions
2 Replies
880 Views
Ninaomba kuuliza kuhusu chuo wanachotoa masters ya transport economic/logistics/ or master ya procurement ...... Taarifa ninazozihitaji zaidi ni kuhusu gharama ya chuo; ubora wake na sehemu nilipo..
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba kujuwa wakuu mwanafunzi aliemaliza kidato cha sita mchepuo wa CBG Anaweza ku apply course gan za afya ? Naomba jibu wakuu Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Certificate ya HEALTH MANAGEMENT ipo Mzumbe au wana toa tu Degree...??? Nina ufaulu wa Division Two O'Level Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
626 Views
Amani ni kitu cha muhimu sana katika maisha ya mwanadamu,na amani ya kweli hutoka ndani ya moyo.Lakini japo amani ya kweli hutoka ndani ya moyo,ila moyo huwa hauzalishi amani. Unaweza kuwa na pesa...
0 Reactions
5 Replies
948 Views
Wana jamii hv unaweza kuwa na diploma ya community development alafu ukajiunga na degree ya sheria Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kwa yeyote anae kifahamu viziri chuo kinacho itwa Al-MAKTOUM COLLEGE OF ENGINERING AND TECHNOLOCY Naomba anijuze ubora wa chuo au una weza kunichek 0718070205 ili anielekeze vizuri Sent using...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada anayejua sifa mpya za kufanya mtihani wa kidato cha sita 2017. Kuna dogo langu nilimpeleka private school ana C tatu na D kama tano hiv lakin amekataliwa kufanya mtihani kama...
0 Reactions
18 Replies
17K Views
Huu usemi niliusikia kutoka kwa Mange Kimambi wakati anapata Masters yake nchini Dubai. Nimeutafakari huu usemi na kuona ukweli ndani yake. Hivi wale wapendwa wetu wa bongo movie wangekuwa na...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Je vp kuhusu soko la ajira katika kozi ya pharmacy kwa ngaz ya diploma NA pharmacy ina sehem gan ambazo mtu anaweza kufanya kazi naomba ushaur Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu,nahitaji msaada wa mtu yeyote aliyepo kwadeo sec school-Kondoa-Dodoma.asanteni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Samahani wadau, ninapata shida kwenye portal ajira kwani niki attach file inasema “The uploaded file exceeds the maximum allowed size in your PHP configuration size”...je ninatatua vipi ili...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Habarini kijana kaniomba ushauri wa kozi za kusoma kwa matokeo ya form four kwa matokeo haya biology B+, geography B, physics C, chemistry C, kiswahili C, English C, kiswahili C. Hana F wala D...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Kwa mara ya kwanza kusikia wagombea wa kiti cha uraisi mwaka 2015, wakijinadi kwa wapiga kula kuwania kiti hiko, maswali mengi yalitawala sehemu mbali mbali katika ubongo wangu baada ya kusikia...
0 Reactions
1 Replies
712 Views
Naomba msaada ili nimsaidie mtu. Kama matokeo yako ya A'level sio mazuri hapa nchi halafu baadae ukaamua kuendekea na masomo Ujerumani kwenye vyuo vizuri. Lakini ukatumia matokeo yako ya O'level...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
Naomba kuuliza ivi NIT kuna kozi ya education na ikoje nipo kagera Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Ndugu zangu Habari zenu Napendelea kusoma ulaya, naomba mniunganishe na ma agent wa hzo ishu Ni watu gani hapa TZ watansaidia kwa uhakika na haraka?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu,..naomba msaada kwa anayefahamu kuhusu hilo swala la online degree ni vyuo gani vizur vinavyotoa hiyo kozi abroad.na pia je,mitihani yake huwa inakuwaje Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Tafadhali naomba kuuliza niko mkoani na nimeapply kupitia online hv kuna haja ya kutuma na hard copy?
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…