Msaada kwenye portal ajira

Msaada kwenye portal ajira

Quinn

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2017
Posts
473
Reaction score
1,188
Samahani wadau, ninapata shida kwenye portal ajira kwani niki attach file inasema “The uploaded file exceeds the maximum allowed size in your PHP configuration size”...je ninatatua vipi ili tatizo?? Kwa anayefahau
 
Hilo faili ni ktk kipengele gani cha attachment??
Kuwa wa kwanza ku reply si wa kwanza kwa umuhimu
 
Una attach kimoja kimoja au PDF zako zimeunganishwa pamoja
 
kuna hili tatizo hata mm nime experience. kuna shida hasa ukihitaji kuattach chet cha degree. unaweza ona inakaa transcript pekeake af unapewa error
 
Nimeattach kivyake ila bado....je nikikuta ina mb kubwa ninazipunguza kwa kufanyaje?
Transcript moja inapande 2 ukiscan na kuiweka kwenye PDF sidhani kama itazidi required size. Ikizidi tengeneza folder moja litakalo beba page zote mbili zikiwa separate cheki tena hope itakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani wadau, ninapata shida kwenye portal ajira kwani niki attach file inasema “The uploaded file exceeds the maximum allowed size in your PHP configuration size”...je ninatatua vipi ili tatizo?? Kwa anayefahau
Portal inakubali file size Dogo hilo lako ni kubwa kama ni PDF tafuta online app ya kucompress like kwenye size ndogo uki upload itakubali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom