babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,172
Naomba msaada ili nimsaidie mtu. Kama matokeo yako ya A'level sio mazuri hapa nchi halafu baadae ukaamua kuendekea na masomo Ujerumani kwenye vyuo vizuri. Lakini ukatumia matokeo yako ya O'level kusoma certificate ya mwaka mmoja. Halafu ukatumia hayo matokeo ya certificate kujiunga na chuo kikuu nje ya nchi. Je, kuna kosa lolote kwenye elimu yako?
Kwa Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya hakuna tatizo lolote lakini kwa hapa nyumbani haya maswala ya vyeti feki yanatisha sasa hivi.
Kwa Ujerumani na nchi nyingine za Ulaya hakuna tatizo lolote lakini kwa hapa nyumbani haya maswala ya vyeti feki yanatisha sasa hivi.