Education is sexy

Education is sexy

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Huu usemi niliusikia kutoka kwa Mange Kimambi wakati anapata Masters yake nchini Dubai. Nimeutafakari huu usemi na kuona ukweli ndani yake.

Hivi wale wapendwa wetu wa bongo movie wangekuwa na elimu si wangekumbukwa awamu hii. Wema umezunguka Tanzania nzima na mama Samia mkiomba kura asingeshindwa kukumbuka lakini ataanzia wapi?

Hata kama hayo vyanayosemea kuhusu Jokate ni kweli au si kweli lakini ana shahada yake safi ya mlimani pale.

Tukumbuke kusomesha watoto wetu.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
wazamzibari huwa hawasaidii wabara hata nukta moja!
 
Dhima ya elimu ni kukufanya usiwe mnyonge kama hao Bongo muvi, jamaa wengi hawakwendaga hata skuli, mbele yao ni kiza tupu
 
Back
Top Bottom