Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Nimepata meseji ya kachaguliwa udom Sasa nauliza kwa sisi wa chuo kimoja kuna sehemu ya kukonferm?
0 Reactions
6 Replies
898 Views
Habari wandugu mtoto wangu alichagua kufanya udahili chuo kimoja cha MZUMBE alimaliza diploma level na kupata upper second,lakini cha kushangaza akiingia katika account yake wanamjibu limited...
1 Reactions
32 Replies
5K Views
Poleni sana Kwa wale vijana wenye ufaulu wa chini ya point 4.Mmeambiwa hakuna kwenda chuo kikuu mpaka muuwe na hizo point 4, na NACTE wamesema kua vyuo vya diploma vilivyo vingi nafasi zimejaa...
6 Reactions
23 Replies
5K Views
Unahitaji kurudia mtihani wa form four na six Chemistry and Biology na ni mtu mzima ambae ratiba zako zimekubana mwalimu yupo atakuja akufundishe hapo hapo ulipo muda ule utakaokuwa na nafasi...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani ndugu zangu nimepangiwa Kampala University Kiu Pharmacy naomba mnaojua mtujuze kuhusu ile skendo ya kutisajiliwa na bodies ya maphamasia
1 Reactions
76 Replies
14K Views
Jaman msaada kuna aliyeomba Duce na amepata code? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
718 Views
Nmechaguliwa course nisiyoipenda je naweza badilisha pia watu wanaosoma philosophy and political science wanapataga mkopo anaejua tafadhali anisaidie
0 Reactions
8 Replies
933 Views
Pakua hiyo
0 Reactions
10 Replies
1K Views
tembelea hii tovuti afu login pale juu utafaidika sana sana www.hibazone.com tunakaribisha matangazo yote bureee pia unaweza kutuma makala za biaahara,elimu,uchumi,afya,kilimo,urembo buree...
0 Reactions
1 Replies
508 Views
https://www.necta.go.tz/files/PRIVATE_CANDIDATES_REGISTRATION_ACSEE 2018.pdf
0 Reactions
0 Replies
464 Views
Ukipangiwa vyuo viwili unafanyaje ili kuconfirm kimojawapo?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahan nlikua nahtaj ushauri wa course tatu tofaut nahtaj course 1 UDOM , degree of education in adult education and communnity development NIT, degree of accounting and transport finance ITA...
0 Reactions
2 Replies
565 Views
Ni cifa zipi za mwanafunz kuchaguliwa chuo kiku kwan mwanafunzi mwenye dv1.8 dv1.9 au dv2.10 hawajachaguliwa hivyo hawana sifa je ni cifa gani zinatakiwa??
0 Reactions
6 Replies
1K Views
habari zenu wadau. Nauliza kama course tajwa hapo juu ina uwezekano wa ajira na kujiajiri mara tu baada ya kumaliza mafunzo ngazi ya degree
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tunashukuru TCU hatimaye wametoa majina ya waombaji waliochaguliwa kwenye chuo zaidi ya kimoja na wahusika wanatakiwa wa-confirm chuo wanachokitaka. Tatizo ni kuwa hawajaainisha kozi...
3 Reactions
51 Replies
6K Views
Waliochaguliwa TUDARCO Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hello wandugu, naona kuna watu wengi wanapata tabu jinsi ya kuchagua kozi mojawapo kati ya alizochaguliwa; ushauri mwepesi sana mbali ya kuangalia vipaumbele vya fursa za ajira kwa kozi husika etc...
0 Reactions
0 Replies
918 Views
Salaam wakuu. Naomba kuuliza kuwa je inawezekana kubadilisha chuo kabla hata hujathibitisha ikiwa umechaguliwa chuo kimoja tu? Taratibu gani za kufuata ikiwa unataka kuhama chuo ikiwa uko chuo...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Khabar za masiku wana jamvii, nimepata tetes kuwa kuna baadhi ya wanafunz waliopata div 3 wamepata chuo kwa ngazi ya degree, naomba majina ya hivyo vyuo na mm nitume maombi. Asante
1 Reactions
144 Replies
26K Views
Jamani kuna yoyote katumiwa izo code na tcu na sisi tuliopata mzumbe mbona tukiingia kwenye akaunti bad wameandika selection is in progress wakati tushatumiwa msg za kuchaguliwa
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…