buffalo44
JF-Expert Member
- May 8, 2016
- 5,129
- 13,119
Salaam wakuu.
Naomba kuuliza kuwa je inawezekana kubadilisha chuo kabla hata hujathibitisha ikiwa umechaguliwa chuo kimoja tu?
Taratibu gani za kufuata ikiwa unataka kuhama chuo ikiwa uko chuo flani mfano MZUMBE to UDSM
NB. Sina mkopo nina mfadhili binafsi.