Berther patty
Member
- Jul 27, 2018
- 34
- 4
Jamani kuna yoyote katumiwa izo code na tcu na sisi tuliopata mzumbe mbona tukiingia kwenye akaunti bad wameandika selection is in progress wakati tushatumiwa msg za kuchaguliwa
Nafikir wait mpaka kesho uangalie chuo husika, mfano mm ustawi hawajaweka majina but ardhi majina tayar, ila mpaka ucomfirm kwa kutuma hiyo code, mm hyo code bado cjatumiwaTCU watoa majina kwa walio chaguliwa vyuo vikuu zaid ya kimoja 2018/2019 je kwa wale walio chaguliwa chuo kimoja majina yao wap?
Wamebadilisha ingia xaxaJamani kuna yoyote katumiwa izo code na tcu na sisi tuliopata mzumbe mbona tukiingia kwenye akaunti bad wameandika selection is in progress wakati tushatumiwa msg za kuchaguliwa
Wamebadilisha mkuu, unaenda course gani? Tutakutana hapo.Jamani kuna yoyote katumiwa izo code na tcu na sisi tuliopata mzumbe mbona tukiingia kwenye akaunti bad wameandika selection is in progress wakati tushatumiwa msg za kuchaguliwa
Nimeona..vipi special code umetumiwa wewe
Jamaa kanichek now amenambia UD wametoa majina na course ndo nataka nichek nowUDSM vp profile imasoma vp wakuu?
Jamaa kanichek now amenambia UD wametoa majina na course ndo nataka nichek now
Sent using Jamii Forums mobile app
Sio kweli. Jamaa kazinguaJamaa kanichek now amenambia UD wametoa majina na course ndo nataka nichek now
Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna kitu bado.Hebu hakiki, nimuangalizie na dogo langu.
Mkuu niombe msada wako hapa. (1) Hapo penye nyekundu ni sahihi nikisema unaongelea kuhusu wale WALIOCHAGULIWA chuo kimoja na sio walio chagua chuo kimoja? (2) Tangazo la jana la TCU liliwahusu walio chaguliwa na zaidi ya chuo kimoja, sikuona kwamba waliochaguliwa na chuo kimoja nao inabidi wa confirm. Tuombe TCU watoe tangazo kama hilo ili kusiwe na kubahatisha (3) Ni mategegemeo yangu TCU wata monitor zoezi hili linakwendaje kwani wakati vyuo vingine vimetoa majina ya waliochaguliwa vyuo zaidi ya kimoja na wamechaguliwa programu gani (kama UDOM), vyuo vingine mpaka hii jioni hakuna kitu kama hicho. Ni wazi ili vijana wenye multiple selection waconfirm chuo kimoja wanahitaji kujua wamechaguliwa program zipi (kitu ambacho TCU hawaja weka wazi) kwa hiyo tunategemea vyuo vitaliweka hilo wazi kwa muda muafaka ili vijana wafanye maamuzi makini. Lingine ni kuhakikisha kuwa muda uliowekwa hadi tarehe 4, saa 5.59 usiku unatosha kwa vijana kukamilisha zoezi hilo.Kwa wale ambao wamechagua chuo kimoja na wao watatumiwa code ili waconfirm kwa chuo hicho..bila hicho si tcu wala chuo husika watajua uko wapi .usipoconfem utaaply upya
Hiyo uliyokuwa unaiita kesho ndiyo leo mpaka saa hii saa nane kasarobo hakuna cha code wala baba yake code!! Kuna majipu mengine naona hayakamuliki ndo hii TCU!!!!Special code zinatumwa kesho majira ya saa tatu asubuhi..