mimi kijana nimemakiza form four mwaka 2014 nitaka kujua ukisoma community healthy inaweza ikakusaidia kusoma kozi nyingne za afya maana sikusoma physics peke yake nimepata
je inaweza ikanisaidia...
Jana TCU wametoa multiple selection ambayo walitakiwa watoe tangu tarehe 22 kwa mujibu wa ratiba yao.lakini cha kushangaza vyuo vingi haviachia wale waliochqguliwa chuo kimoja jana hiyo hyoTCU...
DELAY IN PUBLICATION OF RESULTS FOR
APPLICANTS IN THE SECOND ROUND
The University of Dodoma (UDOM) wishes to inform all candidates who
applied for admission into different study programmes offered...
Anaandika Abdul Nondo.
Nimesoma taarifa ya Tume ya vyuo vikuu inayohusu kuzuia vyuo kadhaa kuendelea kutoa Elimu na vingine kusitishiwa udahili na kuwekwa chini ya uwangalizi. Ni kweli...
Unatakiwa ku upload cheti chenye muhuri tu , kwa wale wenye matatizo ya kuwa certified by rita hakuna haja ya kutuma hardcopy maelezo kutoka board nilikwenda asubuhi hii leo
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ilitangaza kukamilisha kuchakata majina ya waombaji wa awamu ya pili tarehe 23/09/2018 na kuwa majina hayo yamekwisha rudishwa vyuoni kwa ajili ya kutangazwa. Kutokana...
Shule ya msingi Top Layer Pre &Primary School iliyopo kimara bonyokwa imeshusha ada zake zilizokuwa zikilipwa 1,200,000 kwa Primary na kufikia 850,000 na nursery kutoka 850000 kufikia...
Hii Thread ni Maalumu kwa malalamiko ya waombaji wa mikopo kutokana na Changamoto wanazozipitia kipindi cha uombaji wa mkopo kwa Elimu ya Juu
Inaweza kuwa ni kutokuwa na uangalifu (Maakini) kwa...
Kwa mnawapeleka watoto pre form one wanafundisha civics,chemistry,biology,physics,math,english nq geography wengine mpka history kweli mnawaaribu watoto na ndio mwanzo wa kufeli.... napita sehemu...
Applicants wanapata tabu sana kwa baadhi ya vyuo katika suala zima la udahili. Je, chuo gani kinapaswa kutupiwa jicho kali sana na mamlaka ya juu kwa namna wanavyobabaisha suala la udahili ambalo...
Binadamu kuishi milele kama jaribio la kuonganisha ubongo na mfumo wa kompyuta litakamilika
Je unatamani kuishi milele?. Huko nchini Marekani mjasiriamali mmoja wa masuala ya teknolojia, Eloni...
Nilikuwa na swali kidg ngependa kujua
Kuna coz inatolew udsm inaitwa Bachelor of arts in public relatn and adiverts
Ngepend kujua hii inahusu nn?
Soko lake la ajira ?
wamalizao katk hii coz...