Helsb : cheti cha kuzaliwa maelezo soma

Helsb : cheti cha kuzaliwa maelezo soma

  • Thread starter Thread starter guest-1793747943
  • Start date Start date
G

guest-1793747943

Guest
Unatakiwa ku upload cheti chenye muhuri tu , kwa wale wenye matatizo ya kuwa certified by rita hakuna haja ya kutuma hardcopy maelezo kutoka board nilikwenda asubuhi hii leo
 
Unatakiwa ku upload cheti chenye muhuri tu , kwa wale wenye matatizo ya kuwa certified by rita hakuna haja ya kutuma hardcopy maelezo kutoka board nilikwenda asubuhi hii leo
mkuu hujaeleweka cheti chenye muhuri wa nani? rita? kutotuma copy una maanisha nin? bila kutoa copy? kwa kuscan cheti original?
 
Kama hauwezi kuelewa maelezo hayo acha maana hata chuo uta fail unaenda kumaliza mkopo tu ,wakati kuna wanaojielewa wanaohitaji
 
Kama hauwezi kuelewa maelezo hayo acha maana hata chuo uta fail unaenda kumaliza mkopo tu ,wakati kuna wanaojielewa wanaohitaji
afadhali usingeandika mkuu. sisi wengine tulishapitia hiyo elimu ya degree ya kwanza. tupo hapa kusaidia watu tu. ulichoandika hapa hakieleweki...mihuri iko mingi. bodi miaka yote wanahitaji wa rita ndo maana ya uhakiki.
 
Back
Top Bottom