Shule ya msingi na awali Top Layer yashusha ada zake

TULIMAJE

Member
Jun 14, 2017
92
51
Shule ya msingi Top Layer Pre &Primary School iliyopo kimara bonyokwa imeshusha ada zake zilizokuwa zikilipwa 1,200,000 kwa Primary na kufikia 850,000 na nursery kutoka 850000 kufikia 500000..malipo haya hufanyika kwa awamu mbili mpaka tatu kulingana na makubaliano baina ya mzazi na uongozi was shule ...walimu wetu wamebobea kwa ufundishaji ..mwaka jana wamefaulu wrote...usafiri upon na hosteli
Karibuni sana mawasiliano 0768412181/0655412181
IMG-20180724-WA0004.jpg
 
Back
Top Bottom