IVI NI LINI LINI TANZANIA TUTAKUWA SERIOUS KATIKA SUALA LA TAALUMA?

Dr.philosophy

Senior Member
Oct 12, 2012
122
27
Jana TCU wametoa multiple selection ambayo walitakiwa watoe tangu tarehe 22 kwa mujibu wa ratiba yao.lakini cha kushangaza vyuo vingi haviachia wale waliochqguliwa chuo kimoja jana hiyo hyoTCU wametangaza raundi ya tatu ambayo yenyew mwisho wakw ni tarehe 26.sasa najiuliza hivi Hawa jamaa kwann hawapo serious namambo ya msingi kama taaluma.sasa kuna watu watakosa vyuo na hakutakuw na nafasi ya kuapply tena daah hii nchi ya kipuuzi sana asee sijui timerogwa na nan
 
Unavosema hivo unakuwa unakosea maana kulikuwa na idadi kubwa ya watu ambao hawaku apply 1st an 2nd round kwahiyo na wao wakapewa nafasi pia kwahiyo sioni sababu ya kuwalaumu TCU
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom