Msaada natafuta mashirika yatakayo weza nipa scholarship ya kwenda kusoma nje me ni mwanafunzi nilimaliza mwaka huu na nina 1 ya 7 PCB ila mpaka leo ninavyo sema aijapata hata Chuo cha UDOM...
hivi TCU wamekosa misimamo ya kuondoa majina ambayo wameshindwa kuconfirm ili kuruhusu nafasi hewa zijazwe na watu?????halafu TCU ratiba yenu mbona hamuifuati???watu wanalia 3rd round na hakuna...
Habari ya asubuhi wakuu,, naomba Msaada Wa Ku upload cheti tena kweny tovouti ya mkopo .... Najaribu kufanya hivyo inasema file already being existed...
Samahani...najarbu Ku upload tens kweny website yao ya mikopo baada ya vyeti vyng kuwa certified by Rita...lkn chaa ajabu naambiwa file already being uploaded..sijui nafanyaje aisee naomba msaada wako
Habarini..
Nimeambiwa bodi ya Mikopo inatoa mikopo kwa wahitimu wa degree ya Sheria wanaotaka kwenda law school.
Kuna mtu yeyote anaejua namna ya kuomba mkopo wa HESLB kwa ajili ya masomo ya Law...
Wasomi naomba kuelimishwa kuhusiana na mpangilio wa elimu, namaanisha ukitoka degree ya kwanza, inafuatia nini na nini mpaka mwisho wake kama ni profesa au dkt naomba muniwekee mpangilio sahihi
Ndugu dogo alikosa mara ya kwanza akaomba mara ya pili sasa majina yametoka walochaguliwa chuo kimoja na kuambiwa third round 24_26
Sasa naulza je vyuo bado havijatoa majina au sijaona tu na kama...
Mm ninapenda sana maswala ya blog nimefungua blog nyingine sana na kukata tama but ipo nataka kutengeneza blog mpy na ambayo nitanunulia domain na kuomba maombi Google ADSENSE
But ni sehemu hipi...
TCU imefungia vyuo vikuu zaidi ya 14 vikiwemo vyuo pekee viwili vya Kagera -
Chuo Kikuu Kishiriki cha Josiah Kibira (JOKUCo)
na Chuo kikuu kishiriki cha kumbukumbu ya Kadinali Rugambwa(CARUMUCo)...
Jana wanafunzi walikwenda kwenye chumba cha mtihani kufanya mitihani yao ya supplementary, wakakaa saa nzima. Mwishowe wanaambiwa kuwa hakuna mtihani watoke wasubiri mpaka watakapo tangaziwa tena...
habarini wakuu,
Nina mtoto wa binamu wangu amemaliza shule ya msingi. Amefanya interview Rosmini na AHMEs na kupata zote hebu nipeni ushauri ili nami nimshauri aende shule bora karibuni wakuu
MAJINA YA WADAHILIWA KATIKA AWAMU YA PILI
Published on Wed, 09/26/2018 - 15:17
Tume ya Vyuo Vikuu Tanzania ilitangaza kukamilisha kuchakata majina ya waombaji wa awamu ya pili tarehe 23/09/2018 na...