Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Mpaka sasa hakuna chuo cha kilimo ambacho kimetoa matokeo ya maombi ya kujiunga na certificate/diploma za kilimo. Kuna nini? Inaonekana kama kuna usiri wa aina fulani, maana tulitegemea kuwe na...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Hy wakuu.....!! Kama kichwa cha thread kinavyojieleza hapo juu, wale wote tuliochaguliwa MATI MTWARA.. Vipi kuhusu Joining instructions kwa CERTIFICATE GOVERNMENT SPONSORSHIP kuna mtu...
2 Reactions
19 Replies
11K Views
Wakuu; Mpaka mudaa huu vyuo vikuu mfano,udsm,udom,mwecau n.k havijatoa mrejesho kwa wanafunzi wa round ya tatu. Hali ya kuwa tarehe 13/10/2018 wanafunzi wa round ya nne wanahitaji kuanza kuomba...
0 Reactions
30 Replies
5K Views
Na jiona mjinga sana kwa kukosa chuo mwaka huu
2 Reactions
127 Replies
11K Views
Naombeni msaada ninadeki yangu haitoi rangi kabisa inaonesha picha na rangi haitoi vizuri
0 Reactions
0 Replies
400 Views
Kudos my alma mater. Naangalia hapa interview na ninamuona mama Ndalichako kaketi mbele ya library mpya kampasi ya mw Nyerere,anadai imegharimu dola mil 40 na kila kitu kimekamilika bado kupiga...
8 Reactions
69 Replies
9K Views
Kwanza kabisa naomba kusema asenteni sana kwa ushauri wenu na misaada yenu mungu amenijari nimepata chuo asante sana kwa wote mlio ni saidi nimepata KCMC kama kuna mdau wa huku mungu akipenda...
1 Reactions
3 Replies
898 Views
Kwa wale wanafunzi mliojaribu kufanya application kwenda vyuo vikuu kwa awamu ya kwanza na pili na ukakosa basi fahamu kuwa kuna kitu unakosea. habari njema ni kwamba TCu wametoa nafasi kwaajili...
0 Reactions
55 Replies
6K Views
Wadau naomba kuuliza kama kuna aliyepata confirmation codes kwa watu huku watu wa multiple third round tujuzane wakuu
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Abari zenu wakuu ... kwa wale waliotuma maombi chuo cha ardhi morogoro ngazi ya diploma, au kama kuna mtu ana taarifa yoyote anijuze.. maana naona mda unaenda bado wako kimya...
0 Reactions
17 Replies
5K Views
Wakuu pole na shughuri, jamani nina mdogo wangu kakosa nafasi ya afya alikuwa na PCB point 10 sasa amesema ataomba mwaka ujao, Sasa anataka kusoma computer, wakuu nisaidie vyuo vinavyofundisha...
0 Reactions
19 Replies
12K Views
Karbuni, kumekuwa na urasimishaji Wa ardhi kwa wananchi, kupitia hivyo kuna mfumo unaoitwa upimaji shirikishi hasa kwa maeneo ya huku mikoani, hivyo mwenye uelewa zaid ya zoez hili Mara baada ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Message…nilituma maombi bodi ya mikopo ila cheti changu cha kuzaliwa kilihakikia na maafisa wa RITA wa wilaya kikasainiwa na kupigwa muhuli na mahakama. Je kuna shida naweza kutana nayo katika...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu anayejua taarifa yoyote kuhusu kuachiwa kwa majina ya wanufaika wa mikopo tujuzane,wakati walidai tarehe kumi na tano mpaka saivi kimya
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Ni weekend nyingine wakuu natumaini mu-wazima wa afya. Kuanzia 2015 mpaka sasa kumekuwa na ongezeko kubwa la wadahiliwa kukosa vyuo au kozi ya ndoto yake ingawa kuwa ufaulu wake unajitosheleza...
5 Reactions
10 Replies
3K Views
Naam,jamani tupeane mawazo mtu asome kwanza Kisha atafute ajira au afanye kazi kwanza kwa level ya elimu ndogo kisha akajiendeleze? Najua Kuna watu watapata majibu yao Leo hapa.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hatimae TCU waona maoni ya watu kuhusu mifumo mibovu ya vyuo vingi katika udahili wao kwa kutokubaini vacant courses zilizo baki katika udahili uliopita, SEE ATTACHMENT
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Kwanini kozi fupi fupi za kuongeza ujuzi, na kuiboresha carier yako, kuiboresha CV ni gali sana... wakati sio wote waliomaliza degree kama wanapesa?
1 Reactions
5 Replies
692 Views
Wanabodi, baada ya kuona changamoto za udahili wa wanafunzi wa Taasisi za Elimu ya Juu mwaka huu na mwaka jana nnashauri sasa Serikali ione umuhimu wa kurudisha ule mfumo wa kufanya mombi ya...
4 Reactions
30 Replies
5K Views
#NENDA_CHUO , #NENDA_MDOGO_WANGU Nakupongeza kwa kufaulu kwenda Chuo Kikuu , aya nenda Mdogo wangu. Wanafunzi 40,000 watapata mkopo , na wewe utapata mdogo wangu nenda. Najua hujawahi kumiliki...
6 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…