USHAURI

USHAURI

Allydasmartboy001

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2018
Posts
604
Reaction score
218
Kwanza kabisa naomba kusema asenteni sana kwa ushauri wenu na misaada yenu mungu amenijari nimepata chuo asante sana kwa wote mlio ni saidi nimepata KCMC kama kuna mdau wa huku mungu akipenda tutaona huko na mungu awabariki sana tena sana sana . Ila kuna rafiki yangu anashida ya ushauri amechaguliwa kwenye multiple UDOM katika course ya science in ICT mediated content dvp na amechaguliwa science in chemistry UDSM na education pale SUA. Yeye anaomba msaada wakujua hiyo vourse ya science in ICT mediated content dvp ndio nini yaani ini ina husiana na nini na vipi kuhusu ajira zake?? Na kati ya hzo bora kipi.
 
Ndugu hii course ni mpya nimesoma hiyo prospectus nimeona madudu tu yaaani hata kuelewa sijaelewa ndio maaana nimerudi tena hapa
Kumbe hujaelewa...sasa hakuna anayeijua hiyo coz vizur said ya tutor wake au prospectus... So ludia kuisoma mpka uelewe
 
Back
Top Bottom