MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,722
- 21,959
Kudos my alma mater.
Naangalia hapa interview na ninamuona mama Ndalichako kaketi mbele ya library mpya kampasi ya mw Nyerere,anadai imegharimu dola mil 40 na kila kitu kimekamilika bado kupiga deki tu,ufunguzi ni Novemba mwaka huu na atakuwa sio mwingine ni yule yule.
Huu ni wakati wa UDSM kurudi nafasi yake barani Afrika na katika kufanikisha hilo, maktaba ni kitu muhimu sana kwa wanafunzi ,utafiti na vitu vingine.
Baada ya kuvigalagaza bila huruma vyuo vya ukanda wetu huu, Kenya,Uganda na majirani zao sasa ni wakati wa kuwapangua mmoja mmoja hasa wale wa Misri na Afrika kusini. Haya ndio yanaitwa maendeleo ya vitu na watu.
Tunajenga nyumba moja hatupaswi kugombea fito lkn hizi ni salamu kwa wadogo zetu kule Dodoma.