Natala short kozi lakini zinakua ghali sana hasa za uhasibu, auditingUnataka nini ndugu???
Wanazingua sanaHata mimi huwa hawa Jamaa/Wakufunzi wa hizi short course huwa wananibouwah Sana.
Utakuta Course ina Title nzuri tuu lakini Ada yake ni ndefu kinyama