Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Naomba kujuzwa matokeo ya second selection kwa diploma na certificates yatatoka lini?
0 Reactions
37 Replies
7K Views
Habari za humu Wakuu? Jamani kwa yeyote anayeelewa ni lini watatoa second batch, leo tar 27 kimya Wanafunzi wa mikoani wanaripoti lini vyuoni hapa ni shida tupu mwenye idea atueleweshe Asante
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Jaman naombeni msaada kama nilivyo waonyesha hapo chini unakuta chuo mfano wa makerere wanafunzi wote wa E. Africa wanalipa sawa ila nashanga hii mbarara wameweka ugandan na international ina...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Jamani wana jf wenzangu ningependa kujua kama allocation ya mikopo ishafanyika batch1 bado au tayari.
0 Reactions
28 Replies
6K Views
Jamani naomba mnisaidie kwa ambaye anajua jinsi gani asilimia 25 ya mkopo uliopewa inakuwaje una chukua ada tu au unachanganya na boom?
0 Reactions
13 Replies
3K Views
hiv science and laboratory technology vip katika ajira
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow,,,,,nilikuwa naomba kuuliza haya maswali kwa wenye ujuzi na masuala ya finance na accounting 1. Ni career ipi ina demand kubwa kati ya finance au accounting 2. Zipi pros and cons za...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Taratibu zote zimekamilika ila kuna uwezekano wa kuwa na awamu ya tatu ingawa bado Haijathibitishwa rasmi kuwapo kwa hiyo awamu ya tatu.stay turned
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Nina one 8 PCB naweza kupata MD fourth round udom? Msaada
1 Reactions
30 Replies
6K Views
Nomba mwenye kujua namna ya kuomba kuhama chuo kimoja kwenda kingine vyuo vya kilimo kwa ngazi za certificate anisaidie.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
toa mifano ya misimu iliyozuka katika vipindi vifuatavyo; 1. njaa ya mwaka 1975-1979 2.njaa ya 1998-1999, 3. muda mfupi baada ya kupata uhuru, 4.miaka ya vita vya kagera, 5.kipindi cha hali...
0 Reactions
12 Replies
7K Views
Salam kwenu nyote! Ndugu naomba msaada wa kimawazo juu ya kozi hizi za biashara: ACCOUNTANCY na BUSINESS ADMINISTRATION katika suala zima la ajira; ni ipi kati yake iliyo rahisi kupata ajira, na...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
kama kuna mtu anajua jinai ya kuhama chuo kimoja kwenda kingine.....procidures....je na kwa muda huu naweza kuhama???
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani wana jf wenzangu ningependa kujua kama allocation ya mikopo ishafanyika batch1 bado au tayari
0 Reactions
1 Replies
711 Views
Tangazo lao lajieleza lenyewe, kwa wale wenzangu wa PCB dodo ndio lataka kuanguka. Kumbuka wanataka minimum Physics D, Chemistry C na Biology C.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Kama kichwa kilivyo jieleza kwa wajuzi naomba kujua ada y PHd level kwa open university n UDSM
0 Reactions
11 Replies
5K Views
Explain the importance of bacteria in pharmacy
1 Reactions
3 Replies
900 Views
Utapata links, Videos na Mengineyo !
3 Reactions
26 Replies
4K Views
Wadau naweka bandiko hili kuomba mawazo ya kujitosheleza kuhusu course hii hasa inayotolewa ktk taasisi ya usimamizi wa fedha (IFM) iliyopo jijini Dar es salaam! Ili nami niweze kutoa ushauri...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…