Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu naanza kwa kuwasalimu salaam. Leo nimeonelea niwaletee hili swala la kanuni za somo la hisabati. Sitaongelea kanuni zote, bali nataka kuongelea kanuni moja tu ya kuzidisha. Kwa kawaida...
3 Reactions
51 Replies
19K Views
Naomba ushauri ndugu zangu, Kwa Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwenye "C" mbili za Phyisics na Hesabu na "D" tatu za Chemistry, Geography na English, ni kozi zipi zinamfaa kati ya kozi za...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwanza nianze na kwa pole kwa wale waliowahi kuahidiwa kusaidiwa kufanya application bure, na hawakusaidiwa. Kwa mujibu wa kitabu cha The laws of power kuna moja inasema usije ukategemea kusaidiwa...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Nahitaji kuapply chuo mwaka huu2019 kati ya Pharmacy na medical lab coz ipi nirahis zaid kupata ajira?
1 Reactions
2 Replies
2K Views
msaada
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nataka kurudia somo mmoja tu la physics kwa wakazi wa morogoro tution gani ipo vizuri au mwalimu gani yupo vizuri kwenye somo la physics msaada please Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari wana JF. Mdogo wangu amemaliza form 4 mwaka 2018 kwa Division 2.21 C zote. anataka kwenda kuanza certificate ya electrical and electronics. Ni chuo gani anaweza pata kwa hapa TANZANIA...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nmeamini kweli mwalimu wa kweli ni maisha ya mtaani. Yaan kiukweli unaanza kuishi maisha halisi pale unapoacha au kumaliza shule. Kiukweli hii elimu yetu kama hatua za haraka zisipofanyika basi...
4 Reactions
7 Replies
3K Views
Sote tunapenda watoto wetu wafanye vizuri. Ni fahari kwa mzazi mtoto akifanya vizuri, inapendeza sana na ni jambo zuri mno, lakini inapotokea mtoto anafaulu too much kulinganisha na wenzie kuna...
75 Reactions
673 Replies
92K Views
Wakuu kwa mwenye copy ama pdf ya hiko kitabu cha capitalist niger by chika onyeani msaada. Mazungumzo yapo pia ka utahitaji refund. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
623 Views
Habari wan JF, natumai ni wazima....., nina dogo langu kamaliza Form 4 na matokeo yake ni Civ-C, Bios-C, Chem-C, Maths-D, Eng-C, Hist-C, Geo-C, Kisw-D, Litreture-D, anaeza piga kozi gani chuo...
1 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari Mdogo wangu Matokeo ya Form IV kapata Div 4 points 28 Pia anapenda Mambo ya kilimo na ufugaji je anaweza pata Chuo ? Vyuo Vya kilimo na Ufugaji hapa nchini Viko wapi ... Kamamtanusaidia...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Wakubwa shikamoni Mimi nna division2 ya point19 nna phys-C,chem-C & Bio-B je naweza kwenda C.O,,kama naweza kwenda je vyuo gani naweza kwenda? Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
1K Views
MIKOKO Mikoko ni aina ya miti ambayo inapatikana pembezoni mwa bahari ya hindi kuanzia pwani ya Mtwara mpaka Tanga na kuzunguka pwani ya Unguja, Pemba na Mafia katika nchi ya Tanzania. Mikoko ni...
2 Reactions
0 Replies
4K Views
kabla hujaangalia result fanya staff evaluation za course zote
0 Reactions
76 Replies
67K Views
Naomba msaada wakubwa kama kichwa cha habari kinavyo jieleza naombeni msaada mambo ya kuzingatia katika uandishi wa barua ya kazi ila katika kampuni ndogo tu na ninacho hitaji ila anuani...
1 Reactions
9 Replies
16K Views
Ndugu wana jukwaa naomba mwenye past paper za maswali ya darasa Ia saba au anaye jua App ya kuyatoa aniambie Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wale mliochagua chuo cha maji degree au diploma unakaribishwa kuuliza swali lolote kuhusu hiki chuo kipo ubungo karibu na coet udsm
0 Reactions
48 Replies
15K Views
Wadau habarini, naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa ku download vitabu vile vya kulipia na kuvidownload freekuna kitabu (novel) base on true story kinaitwa impossible odds the kidnapping...
0 Reactions
0 Replies
826 Views
Habarini za muda huu wana jf, Kama una ndoto ya kusoma IcT na ungependa kupata ushauri mbalimbali kulingana na COURSE izo za ICT Nakukaribisha ewe mzazi au kijana Karibu kwenye group la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…