kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Nmeamini kweli mwalimu wa kweli ni maisha ya mtaani. Yaan kiukweli unaanza kuishi maisha halisi pale unapoacha au kumaliza shule. Kiukweli hii elimu yetu kama hatua za haraka zisipofanyika basi itatengeneza watu wenye matokeo mazuri sana na kuharibu vipaji, ndoto na skills za watu.
Mashuleni waalimu wanakalia kumfundisha mtu ajibu vzr mtihani wake lkn hawamwandai kujitambua yy ni nani na anavuwezo gn na pia anaweza kufanya nn ktk jamii yake.
Hizi division one zisitudanganye kabisa kiukweli thats not education for real. Coz Elimu (Education) inamaanisha 'bring forth' yaan true education inabidi imfanye mtu atambue karama zilizo ndani yake na azitoe na kuzitumia kwa ajili yake yy na jamii yake.
Divisions 1, na hizo gpa zitacount for nothing kama mtu bado haujielewi.
Kufaulu mtihani hata robot ilokua trained inaweza kukariri hayo ma notes na ikapata 100%. Sasa where comes the difference. Difference itakuja pale ambapo mtu atajielewa na kutumia education alio nayo kumanage vzr mazingira yake yanayomzunguka.
So matokeo haya yasitudanganye coz You may have 100% on the paper but 0% in your head.
Teachers should be empowered na pia waalimu wawe dedicated at their work.
Tusikazie kuongeza ufaulu na kuua creativity na talents za watu.
Prince Ea once said ''Modern schooling is just the game of grades, counting how many A's you got''
Please najua jf kuna wadau wa elimu naomba mliangalie hili.