Matokeo ya Division IV points 28 Chuo cha KILIMO NA UFUGAJI ATAPATA ?

asubuhi sana

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2015
Posts
1,669
Reaction score
1,418
Habari

Mdogo wangu Matokeo ya Form IV kapata Div 4 points 28 Pia anapenda Mambo ya kilimo na ufugaji je anaweza pata Chuo ?

Vyuo Vya kilimo na Ufugaji hapa nchini Viko wapi ... Kamamtanusaidia link nikajue School Fees itapendeza zaid

Asanteni ... wako katika ujenzi wa Taifa

Driving using BMW X6
 
Kipo chuo cha kilimo kilichopo Mbeya,sikijui jina lake.
Kipo chuo cha kilimo cha Sokoine,Morogoro hapo wanatoa degree na kwa ngazi ya certifct na diploma ipo SUA ndogo kinaitwa Olmotonyi kiko Arusha,.

kuhusu qualifications sijajua kama ana qualify au la labda uingie google then search hivyo vyuo
 
Point of correction! hicho cha Diploma na cerfct kiko based na Fani ya Scienc ya misitu na ufugaji nyuki tu
 
Kipo chuo cha kilimo kilichopo Mbeya,sikijui jina lake.
Kipo chuo cha kilimo cha Sokoine,Morogoro hapo wanatoa degree na kwa ngazi ya certifct na diploma ipo SUA ndogo kinaitwa Olmotonyi kiko Arusha,.

kuhusu qualifications sijajua kama ana qualify au la labda uingie google then search hivyo vyuo
Nashukuru sana Jack

Driving using BMW X6
 
Habari

Mdogo wangu Matokeo ya Form IV kapata Div 4 points 28 Pia anapenda Mambo ya kilimo na ufugaji je anaweza pata Chuo ?

Vyuo Vya kilimo na Ufugaji hapa nchini Viko wapi ... Kamamtanusaidia link nikajue School Fees itapendeza zaid

Asanteni ... wako katika ujenzi wa Taifa

Driving using BMW X6
Unatakuwa uulize swali kisomi,

Hakuna chuo kikachochukua div 4 pts 28

Bali chuo siku zote kinaangalia ufauli ktk masomo,unachotakiwa ni kuweka hapa kapataje kwenye masomo yake?

Other wise huwezi pata msaada sahihi,

Ukiangalia majibu hapo juu,hakuna aliekujibu sahihi! Fata ushauri wangu thanks!
 
Matokeo nayaleta Muda c mrefu

Sasa huweki alama kwa kila somo tutakushaurije?

Driving using BMW X6
 
Kwa vigezo vilivyopo chine ya NACTE ili mtu asome certificate lazima awe na ufaulu wa kuanzia kiwango D katika masomo manne yaani hata akiwa na division 4 ya 31 ana D nne tu zingine F anasoma ila kuna kozi zingine unatakiwa uwe na D fulani yaani kama ni kilimo huwa wanasema D ya geography, D ya biology na kazalika

Kwa ushauri achague vyuo vilivyo chini ya Nacte maana vile vilivyo chini ya TCU yaan mfano university zinazotoa certificate huwa zinaweka viwango vya juu

Sent using i Phone x
 
ingia www.lita.go.tz. na nimeambatanisha form ya mwaka 2018/2019 ikiwa na requirements na fees wanazotaka huwa ni ufaulu masomo manne tu View attachment Application-form-edited-03.05.2018-new.pdf

Sent using i Phone x
 
Habari

Mdogo wangu Matokeo ya Form IV kapata Div 4 points 28 Pia anapenda Mambo ya kilimo na ufugaji je anaweza pata Chuo ?

Vyuo Vya kilimo na Ufugaji hapa nchini Viko wapi ... Kamamtanusaidia link nikajue School Fees itapendeza zaid

Asanteni ... wako katika ujenzi wa Taifa

Driving using BMW X6
Awezi pata chuo hapo, ila anaweza soma advance kupitia mfumo wa special need programs, unaotumiwa na baadhi ya private schools. Kama hatakuwa tayari, nichek pm....nikupe maelezo zaidi Mkuu.

Nje ya hapo, a-resit au kubaki mtaani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom