Msaada: Aweza kusoma kozi inayohusu nini kati ya Madini, Mafuta na Gesi au Utalii kwa matokeo haya?

Samuel jolaur

New Member
Sep 24, 2016
1
0
Naomba ushauri ndugu zangu,

Kwa Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwenye "C" mbili za Phyisics na Hesabu na "D" tatu za Chemistry, Geography na English, ni kozi zipi zinamfaa kati ya kozi za sector ya madini, mafuta& gesi na sector ya utalii kulingana na soko la ajira?
 
Anaweza soma any Engineering Discipline course kwa matokeo hayo kwa Ngazi ya certificate.

Na kuhusu Tourism. Pia anaweza soma course yoyote
 
Back
Top Bottom