Habari ya weekend Waungwana?
Moja kwa moja kama mada inavyoeleza hapo juu.
Nina mdogo wangu hapa anataka kufanya maombi ya chu0 ngazi ya certificate kupitia Nacte Kada ya Afya au Ualimu Grade...
Wakuu habari z weeknd??
Nimeona niweke mjadala juu ya Elimu yetu kama taifa tujadiliane kuhusu elimu lakn tuangalie na mustakabali wake kwa miaka mingi ijayo.
Kati ya vitu ninavyoamini vinamaliza...
ni kweli education for liberation kama ilivyo motto wao...watanzania na wanafunzi wa shule zoote za sekondary Tanzania laiti tungekua na mkuu wa shule kama MWANYIGU wa shule hii basi kiwango cha...
Kuna familia moja hapa ninapoishi wana kijana wao (Ana uchu wa kusoma Elimu ya Juu) wameniomba msaada baada ya kuhisi kijana wao anawadanganya kuhusu masuala ya Mikopo ya Elimu ya Juu.
Nimelezwa...
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayao(History&Geography) iliyoko Wilaya ya Ludewa-Njombe natafuta mwl wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Ludewa mimi niende Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro...
COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVELS BY:Edwin B. Mahelo
Copyright 2011 by;
Edwin B. Mahelo
P.O.BOX 6389, Mwanza, Tanzania
dogomahelo@yahoo.com
SPONSORED BY;
Sr. Denise Mattle
Montessori...
Guys habari zenu, natumai mko pw.
Naomba aliye na kitabu cha PRINCIPLE OF PHYSICS S CHAND XI anisaidie please. Aleko nacho anitumie whatsapp 0742024193.
Nsaidie please aleko nacho
Wanajukwaa habari,
poleni na majukumu.
Ninaomba msaada wa kujua chuo kizuri kwa kozi ya pharmacy nchini kenya au uganda hasa kenya. Kwa anaefahamu ninaomba anisaidia tafadhari
ndugu wana jamvi nnaomba msaada kupata hii software ya kuchora maumbo ya hisabati ambayo ni free, nimejaribu edrawmax lakini naona inaitaji ununue na ina lisense, jamani please naomba msaada...
naomba msaada kwa mwenye uzoefu na chuo cha IFM,
nimeajiririwa lakini nataka kujiendeleza kielimu katika chuo kikuu cha IFM katika fani ya procurement and supply management......
swali je IFM...
Mimi nilitegemea kwamba wanaofaulu kwa viwango vya juu ndio wanaopaswa Kuwa na sifa za kuwafundisha wengine tofauti na hivyo anayepata div four ndio anakwenda Kuwa mwalimu.
Je, yeye mwenyewe...