Msaada: mbona kufanya maombi ya chuo inagona

Alistalikopaul

Alistalikopaul

Member
Joined
Feb 2, 2019
Messages
9
Points
45
Alistalikopaul

Alistalikopaul

Member
Joined Feb 2, 2019
9 45
Nahofia vipi kama nitalipia alafu mambo hayaendi si ndo nitakuwa nimepoteza kabisa
Kulipa mpaka utumiwe control number na pale ilipofika huwez kuendelea hadi ulipe. ukilipa utakua na ushahidi hata ikizingua unawapigia simu. Nakushauri uwe na uhakika kama dirisha la maombi limefunguliwa. Pia tumia browser hiz mozilla fire fox au Google chrome .operamin hua inasumbua sana kufanyia application.
 
Xiang Hao

Xiang Hao

Member
Joined
Nov 19, 2016
Messages
98
Points
125
Xiang Hao

Xiang Hao

Member
Joined Nov 19, 2016
98 125
Kulipa mpaka utumiwe control number na pale ilipofika huwez kuendelea hadi ulipe. ukilipa utakua na ushahidi hata ikizingua unawapigia simu. Nakushauri uwe na uhakika kama dirisha la maombi limefunguliwa. Pia tumia browser hiz mozilla fire fox au Google chrome .operamin hua inasumbua sana kufanyia application.
Unatumiwa kwa njia ipi
 
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2016
Messages
315
Points
500
Age
25
son of the son

son of the son

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2016
315 500
*UHAKIKI WA VYETI VYA KUZALIWA KWA NJIA YA MTANDAO KWAAJILI YA KUOMBA MKOPO 2019/2020.*

Je, wewe ni mwanafunzi unayetegemea kuomba mkopo 2019/2020?

RITA WAMEANZA KUHAKIKI VYETI VYA KUZALIWA KWAAJILI YA KUOMBA MKOPO KWA MWAKA 2019/2020. WANAFUNZI WOTE WANATAKIWA KUHAKIKI VYETI VYAO VYA KUZALIWA MAPEMA KWAAJILI YA UOMBAJI WA MKOPO KWA MWAKA 2019/2020

*KWA WALE WOTE WANAOPATA SHIDA NAMNA YA KUHAKIKI VYETI VYAO KWA NJIA YA MTANDAO, TUNATOA HUDUMA YA KUKUSAIDIA KUHAKIKI KWA NJIA YA MTANDAO POPOTE ULIPO.*

MAHITAJI:
1. KOPI YA CHETI CHAKO CHA KUZALIWA.

2. RISITI YA MALIPO.

**KWA MAELEZO ZAIDI NA MSAADA WA UHAKIKI WASILIANA NASI KWA SIMU*

*0752026992 / 0737728947**
 
Forum statistics

Threads 1,294,039
Members 497,789
Posts 31,163,053
Top