habari zenu wakuu

selewatatu

Member
Oct 30, 2018
34
13
naomba msaada kwa mwenye uzoefu na chuo cha IFM,
nimeajiririwa lakini nataka kujiendeleza kielimu katika chuo kikuu cha IFM katika fani ya procurement and supply management......
swali je IFM wanaprogram ya open university yaan niwe nasoma online then chuoni niende siku ya mitihani?
 
Program ya open university ndio kwanza naisikia kwako, ila nimekuelewa.
Unamaanisha udahiliwe kisha uwe unasoma kwa muda unaojua wewe chuoni uende siku za mitihani tu, sidhani kama IFM wana hicho kitu.

Tembelea tovuti ya Open University of Tanzania ndio utapata unachotaka.

Vile vile tembelea tovuti ya IFM uone kama kuna evening class inaweza kukufaa
 
asante sana ndugu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom