Msaada wa programu ya kuchora maumbo ya geometry

Msaada wa programu ya kuchora maumbo ya geometry

desmond3076

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2015
Posts
281
Reaction score
214
ndugu wana jamvi nnaomba msaada kupata hii software ya kuchora maumbo ya hisabati ambayo ni free, nimejaribu edrawmax lakini naona inaitaji ununue na ina lisense, jamani please naomba msaada kweli kweli ili niweze kufankisha adhima yangu ya kutunga mitihani,natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom