Aisatu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2012
- 784
- 337
Mimi mwlm wa shule ya sekondari Kayao(History&Geography) iliyoko Wilaya ya Ludewa-Njombe natafuta mwl wa kubadilishana nae, yeye aje Wilaya ya Ludewa mimi niende Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro. Nina miaka tisa kazini. Mwenye interest tuwasiliane PM au E mail:prolim84@gmail.com au +255764709147.