Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

habari ya mchana ndugu zangu, samahani maana naweza kuwa niko nje ya siasa lakin najua huku tumejaza great thinkers wanaweza nisaidia uelewa na uzi ukapita. kama mnavojua elimu yetu imegubikwa na...
0 Reactions
0 Replies
658 Views
MAY PEACE AND BLESSINGS OF THE ALMIGHTY ALLAH BE UPON YOU. LET'S RETHINK AGAIN I MUST ASK, are we preparing students for the future or the past? because we are teaching students with different...
0 Reactions
0 Replies
696 Views
Wakuu kwema,naweza kuwa nimeweka kwenye forum isiyo sahihi sana lakini mtaniwia radhi.Nina jamaa yangu alikuwa anasoma chuo cha SAUT,akiwa mwaka wa mwisho alipata carry ya masoma mawili,kabla ya...
0 Reactions
23 Replies
6K Views
Naomba kuuliza wadau...laon board washaruhusu kuapply???
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarini waungwana na poleni na majukumu ya hapa na pale, naomba mnielekeze jinsi ya kutumia Kadi ya Bank ya Mwalimu, kwenye ATM za Umoja!
0 Reactions
0 Replies
709 Views
For starters, mimi nilikua T.O olevo miaka ya 2000s, sitaki kuweka exact year ili nisireveal identity yangu.
4 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba kujua kuhusiana na chuo hichi kwa maana nilipewa namba zao nikawapigia hawapoki nikawatext hawajajibu sasa naomba msaada kwa anaye soma hapo au anaye jua namba zao zingine ani saidie mimi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nimeangalia NACTE na kukuta kozi za afya mwaha huu 2019/2020 diploma/certificate Muhimbili sioni application ya kozi hizo kwenye guide book ya NACTE 2019/2020. Mwenye taarifa anijuze please
0 Reactions
8 Replies
7K Views
Habari wakuu, kwa wataalamu wa madini au wenye ufahamu na madini haya, msaada wenu
0 Reactions
2 Replies
1K Views
When we reference works in our own writing, we are engaging in a good and ethical academic practice. Our quality of writing and our ability to reference, tend to become a representation, of how we...
0 Reactions
1 Replies
948 Views
wakuu ni chuo gani bora kwenye kozi ya procurement? msaada
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Samahano jamani mi nimefaulu kidato cha nne kwa division 3 ya point 22(kwanza) Math -d Eng-c Chem-c Hist-d Kisw-c Civ-c Phy-c Bio-c Sasa wakubwa nlikuwa nauliza nitapata shule serikalini
0 Reactions
10 Replies
2K Views
HIV/AIDS has become the giant killer in Africa societies'' Varify this statement by using one novel you have read
0 Reactions
2 Replies
803 Views
Usisahau cheti original na living certificate original ila kama huna living njoo na kitambulisho cha shule ni muhimu sana mana maafande wamechafuka roho. Karibuni!
0 Reactions
33 Replies
8K Views
Nijuzeni wenye habari kuhusu udahili wa kozi za ualimu , mwaka huu hakuna au vp?
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Naomba kujulishwa Nafasi za masomo ya ualimu ngazi ya astashahada na cheti kama tayari zimeshatangazwa au la.Na kama bado, Ni lini mlango utafunguliwa wa kuanza kufanya maombi ya nafasi hizo.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Ni muitimu wa kidato Cha nne 2018,, Ufauru wangu ni CBA kweny PCB kwa huwo mfuatano,,Ila Niko njia panda wap niende ,kati ya diploma ya kozi za afya au nikasome PCB advance ,,ila shida iko kwenye...
0 Reactions
2 Replies
750 Views
Good news for Electrical Engineering students taking diploma/undergraduate degree/postgraduate degree courses. You can now access High Voltage Engineering revision questions online. The questions...
1 Reactions
0 Replies
767 Views
Back
Top Bottom