Kwa form six walio chaguliwa JKT 2019 majina haya hapa

The Independent

The Independent

Member
Joined
Jul 10, 2014
Messages
16
Points
45
The Independent

The Independent

Member
Joined Jul 10, 2014
16 45
KAMBI ZOTE HIZI HAPA
 

Attachments:

shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2017
Messages
449
Points
250
shamp

shamp

JF-Expert Member
Joined Jan 22, 2017
449 250
Mmh mbon majina mengi hakuna link ya kuangalia shule kwa ujumla
 
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
20,338
Points
2,000
P

Pohamba

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
20,338 2,000
Haya mafunzo bora yafutwe tu!

Kila Mwaka unafundisha vijan zaid ya elf 50 kutumia Silaha za Moto then unawatupa uraiani bila ya follow up ni hatare sana

Ingeishia wafundishwe kulima, kuranda mbao ufundi mwingine wowote then warudi mtaani

Kuwafundisha matumizi ya silaha siungi mkono japo sina Mamlaka ya kuamuru yasitishwe
 
mkulu senkondo

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Messages
929
Points
1,000
mkulu senkondo

mkulu senkondo

JF-Expert Member
Joined Feb 19, 2017
929 1,000
Mwenye majina ya waliochaguliwa mpwapwa jkt msaada please.
 
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2014
Messages
4,778
Points
2,000
Clkey

Clkey

JF-Expert Member
Joined May 29, 2014
4,778 2,000
Ahsante nmeona jina la aunt yang, ngoja nimjulishe
 
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2018
Messages
307
Points
250
meck pro

meck pro

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2018
307 250
Kama mtu hana mpango wa kufanya kazi jeshini, huo muda wakuwa huko bora aende hata English course au apumzike tu nyumbani.
hii si inawasaidia saidia kuwa wakakamavu labda kuweka mwili vizuri?
 
T

tchaot

Member
Joined
Sep 20, 2018
Messages
95
Points
125
T

tchaot

Member
Joined Sep 20, 2018
95 125
Nimeona jina la mtoto wa kaka yetu mwanasheria na mwanahabar mwenye jina la mgunduzi wa kipimo cha Pressure
 
mwesige from Tz

mwesige from Tz

Member
Joined
Mar 24, 2018
Messages
70
Points
125
mwesige from Tz

mwesige from Tz

Member
Joined Mar 24, 2018
70 125
Nataka mdogo wangu aende kambi yoyote especially Rwamkoma / Msange japo hajachaguliwa.jee kambi ipi ni nzuri na kuna uwezekano wa kupewa cheti akimaliza?
 
Noordin Alhamidy

Noordin Alhamidy

Member
Joined
Jan 29, 2019
Messages
7
Points
45
Noordin Alhamidy

Noordin Alhamidy

Member
Joined Jan 29, 2019
7 45
Jamani nlikua nauliza Kama Mtu umemalza kidato Cha 6 afu haujachaguliwa na Ungependa uende kujiunga na vijana wenzio inabidi ufanyejee ?!
 

Forum statistics

Threads 1,307,342
Members 502,395
Posts 31,609,743
Top