Msaada kwa wajuzi wa scholarships

jogijo

Senior Member
Mar 29, 2019
187
500
habari ya mchana ndugu zangu,
samahani maana naweza kuwa niko nje ya siasa lakin najua huku tumejaza great thinkers wanaweza nisaidia uelewa na uzi ukapita.
kama mnavojua elimu yetu imegubikwa na changamoto nyingi sana hasa kumwezesha mtoto wa masikini kupata elimu hasa ya masters/PHD katika umri reasonable.
mfano, loan board hawawez kutoa mkopo kwa elimu ya masters na hio itakulazimu kusoma kufanya kazi kwa muda mrefu hadi pale utakapopata uwezo wa kujisomesha. unakuta watanzania wengi tunashindwa kupata elimu ya juu kwa kukosa sapport. na hivo kujikuuta wale wenye uwezo na masters au PHD ni eidha wenye namna flani hivi au wastu wa kuwaunganishia mipango.

sasa swali langu ni hili: ni namna gani unaweza pata scholarship na kukuwezesha kusoma angalau masters either nje ya nchi au ndani ya nchi? kwa wale mliowahi kufanikisha katika hili jambo tafadhari tusaidiane.
natanguliza shukrani zangu za dhati.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom