Niweke wazi kuwa nina maslah ya moja kwa moja na huu uzi.
Nimezaliwa, nimekulia, nimesoma Machame, nimetoka nikiwa mtu mzima kidogo..
Kipindi tunasoma tulikuwa si chini ya Wanafunzi 40 kwa...
Naomba kujuzwa kama naweza kusoma sheria huku nikiwa sipo chuoni moja kwa moja. Yaani nikiwa naendelea na shughuli zingine.
Naomba list ya vyuo kama vipo, vya Tanzania pekee, gharama na jinsi ya...
Habarini za wakati huu wanajukwaa?
Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu,naombeni kujua ni kozi zipi zenye soko kwa sasa ambazo anaweza kusoma chuo kikuu mtu aliyesoma HGE advance?
Je, hawa wanafunzi wanaomaliza form four na kwenda vyuo vya kati, huwa wako entitled kupata mikopo kama vyuo vya elimu ya juu (HESLB)? Au ni mzazi anaendelea kupambana kama sekondari.
Habar mwalimu wa SoMo la mathematics/physics na computer studies anahitajika
Shule inahtaji huyo mwalimu wa level ya degree au diploma at least awe anaweza kifundisha SoMo mojawapo hapo juu...
Katika manispaa ya Moshi Kuna upendeleo mkubwa wa upangaji walimu katika shule za msingi Kwa kile kinachodaiwa walimu wakuu kutotoa "bahasha ya kaki" Kwa afisa elimu na maafisa taaluma msingi...
Hakuna somo Rahisi kama Physics na Math😎.
Namshukuru Mungu alinipa siri yake
Nikawa nafaulu
Baadaye nikafkia stage nikawa napata 97% kwenye Physics
Kila kitu kinawezekana
Physics na Math ni...
Habari yako mwana JF, natumai umzima. Siku ya leo nimekuandalia thread nyingine inayohusu mambo ya research na leo tutaangalia kitu kinaitwa obsession ambayo imefocus na matumizi ya SPSS kuhusu...
Bi kupoteza muda.
Mimi ni mgeni hapa wakuu nimecheki haraka haraka sioni thread maalumu ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA THREAD.
Nataka kujiunga nisome stashahada ya uzamili na nataka panapo uzima...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye Uelewa wa vitu vinavyo hitajika ili mtu aruhusiwe kuingia Uganda kimasomo, Mfano niliongea na MTU mmoja akasniambia...
Wakuu nimekuwa nikifanya utafiti wa kwenye masomo husika naona hakuna wataalam juu sababu ni kwamba walio juu hawataki wenzao kufika huko hasa ndugu zetu wa Mlimani.
Ushauri wangu soma vyuo...
Habari za muda huu ndugu zangu,
Ngoja niende kwenye point natafuta mtu mwenye connection ya kupata vyuo Uganda au hata mashirika ya kusaidia kupata chuo huko. Mfano niliongeaga na education link...
Muhimu: Ni nje ya vyuo kama open university chenye matawi kila mkoa, Pia kwa vyuo vya kati vya ufundi, nursing, ualimu, utalii, hotel management, n.k.
Tanzania Bara kuna mikoa 26 inayoshiriki...
Miaka ya hivi karibuni kumekua na tabia imeibuka na imeota mizizi ya kuwanyima wanafunzi haki yao ya kupumzika wakati wa likizo.Shule nyingi zimekua haziwapi likizo wanafunzi mpka mwezi wa 12...
Ninaitwa Louis M Fussi Nina umri was miaka 24, Nimemaliza degree ya Bachelor of Environmental science and management kutoka chuo kikuu SUA. Ninaomba nafasi ya kazi, kujitolea ili niweze kuepukana...
Zijue Kozi 40+ za degree ambazo Muuguzi/Nurse wa Diploma anaweza kuzisoma Tanzania kwa mujibu wa Guidebook ya TCU 2024/2025
If your a Nurse Midwifery with an ordinary Diploma save this👇🏾
1...
Ndugu wana JamiiForums naomba msaada kipi ni kozi marketable kati ya Environmental Science vs Biotechnology and Laboratory Science. Niko dilema nisaidieni idea.
Habari Wana JamiiForums, The home of great thinkers.
Moja kwa moja niende kwenye mada. Kuna dogo yeye anasoma chuo fulani Cha diploma kozi ya diagnostic radiography cha private. Sasa kutokana na...