Kusoma Sheria Open University

goodfool

JF-Expert Member
Oct 11, 2016
1,664
993
Naomba kujuzwa kama naweza kusoma sheria huku nikiwa sipo chuoni moja kwa moja. Yaani nikiwa naendelea na shughuli zingine.

Naomba list ya vyuo kama vipo, vya Tanzania pekee, gharama na jinsi ya kujiunga. Asanteni.
 
Mkuu mwaga uzoefu hapa
Unaapply ukipata unaenda kufanya registration .Ukilipia nusu ya fee unapata akaunti kwenye mfumo wao wa kujifunza unaitwa Moodle.Hapo utapata materials zote na pia hard copy unaeza pata.Kuna majukwaa ya discussion ,Kuna assignment huko.Mitihani Kuna annual na test hizo ndo zinaamua upate grade gani kwenye kozi.Ada Ni kwa unit na unit moja ni 60000Tshs.Nilipiga LLB 3 years kwa fee kama ya 3M na kidogo.
 
Back
Top Bottom