marehem x
JF-Expert Member
- Dec 28, 2022
- 515
- 786
Bi kupoteza muda.
Mimi ni mgeni hapa wakuu nimecheki haraka haraka sioni thread maalumu ya OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA THREAD.
Nataka kujiunga nisome stashahada ya uzamili na nataka panapo uzima niimalize kwa uharaka na iwe kama upepo wa kisulisuli. Sijawa mwanafunzi bado ila uanafunzi unaanzia pale unapoweka nia, nataa nianze kusoma naomba wale waliopitia humo, wanaosoma tukutane hapa.
Msaada wangu namba moja ni namna ipi ya kuisoma hii shahada angu ya Pili, PGD kwa uahara sana na mwaka ujao iishe kabisa.
natangaliza shukrani kwa wana jf waasisi, moderators, wanachama, wakongwe, viongozi wa serikali yangu tukufu najua wako humu na wanafunzi wenzangu wa OPEN UNIVERSITY OF TANZANIA.
Mods usisite kuunganisha uzi huu ikiwa upo unaendelea.
asante