Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Kwa mfano,, ulifeli kozi moja mwaka wa kwanza ukaibeba ulipoibeba mwaka wa pili ukafeli tena! Vp una disco ama una recarry tena.?
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Naomba kujua hivi mwanafunzi akichaguliwa comb ya art (mchepuo wa sanaa) anaweza kufika shule akabadilisha akasoma comb ya sayansi (mchepuo wa sayansi) mfano amechaguliwa HGL akabadilisha akasome...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
1. UTANGULIZI Katika historia ya binadamu, dini imekuwa na nafasi kubwa katika maisha ya watu—ikiwapa matumaini, maadili na mwongozo wa maisha. Lakini katika upande wa pili wa sarafu, dini pia...
3 Reactions
10 Replies
659 Views
Nilipata Chem C, Bios C, Phy D, Math D. Chuo cha tanzanian training centre for international health kilicho Ifakara ni kizuri kwa koz ya clinical optometry level NTA 4 TO 6
2 Reactions
9 Replies
556 Views
Kwanini chuo kikuu cha Dodoma hakichukui ambao hawakupita kidato cha sita kwa waliohitimu mafunzo ya stashahada ya ualimu elimu ya awali kwa kuchagua kozi nyingine za elimu
3 Reactions
7 Replies
781 Views
Anonymous
Naitwa Lutamila Malindi Ibrahim, mwanafunzi wa Kigamboni City College of Health and Allied Sciences. Nimesajiliwa kwa namba ya usajili: S3363.0137.2021. Ninaandika kwa uchungu na hofu kubwa...
0 Reactions
10 Replies
850 Views
Anonymous
Vyuo vingi nchini viliyo chini ya NACTEVET haswa hivi binafsi havitaki kutoa haki ya mtu kufuta usajili na kujiunga na chuo kingine. Serikali iingilie kati hili suala, watu wanakaa mtaani kwa...
1 Reactions
0 Replies
215 Views
Wakuu, wenye uzoefu wa elimu na maisha ya chuo msaada wenu kwa ushauri mtu alipiga diploma ya IT miaka mi3,,,heri aendlee degree au aende veta kusoma mambo mengine!?
2 Reactions
5 Replies
598 Views
Nipo Mbeya kuna mtoto wa ndugu yangu ana changamoto ya kuongea(bubu) nataka kufahamu shule ambayo inapokea watoto wa namna hii
2 Reactions
8 Replies
939 Views
Wakuu naomba mnitumie kitabu cha TCU chenye courses na maelekezo yake
0 Reactions
3 Replies
756 Views
Habari za majukumu, Naitaji kusoma degree ya Open University nahitaji kujua utaratibu wa namna ya kusoma kwa huo mfumo. Nini nikifanye na changamoto zipi zinaweza tokea katika hili! Asante
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Habari zenu wana jamii africa, naomba ufafanuzi juu ya hii course ya Bachelor of science in mechatronics engineering kwa wataalamu wa mambo hayo, wahitimu wa course hiyo hata wale ambao bado...
1 Reactions
2 Replies
722 Views
Habari zenu wakuu.nilikuwa naomba kufahamishwa zaidi juu ya hiyo kozi tajwa hapo juu..kuhusu fursa zake,mchango wake kwenye kujiajiri na chuo gani kinatoa hiyo kozi kwa ufanisi hapa...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
2 Reactions
6 Replies
463 Views
🎓 Career Mastery Hub – Your Trusted Partner for Global Success At Career Mastery Hub, we do more than just handle paperwork. We provide expert career counseling and foreign admissions guidance...
0 Reactions
1 Replies
871 Views
Kwanza kabisa ninakiri kufahamu mchango wa HESLB kwa wanafunzi wa elimu ya juu katika ufanikishaji wa ndoto za vijana kwa kiasi. hili la ukopeshaji wanafunzi wa elimu ya juu liangaliwe upya...
0 Reactions
1 Replies
370 Views
Tunapojadili kuhusu kushuka kwa elimu yetu na kupungua kwa ubora wa wahitimu tusisahau kuangazia vinu vinavyozalisha wasomi hao. Juzi nilimtembelea rafiki yangu ambaye ni mhadhiri katika Chuo...
6 Reactions
62 Replies
7K Views
  • Poll Poll
Habari wanachama wa JamiiForum, Je, uko katika njia panda, ukifikiria kama utafanya Shahada ya Uzamili (Masters) au kupata cheti cha PMP? Vyote ni vya heshima na vinaweza kuathiri kazi yako kwa...
3 Reactions
23 Replies
2K Views
Wadau January ndiyo hiyo na interview za form 1 zimeanza. Naomba mwenye kujua school fees za: 1. BAOBAB 2. MARIAN 3. HAMES Na kama una pendekezo la shule yenye schoo fees rafiki isiyozidi 2M kwa...
3 Reactions
27 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…