Naomba kufahamu kuhusu Elimu ya masafa (Open University)

Naomba kufahamu kuhusu Elimu ya masafa (Open University)

Mr IQ

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2015
Posts
1,118
Reaction score
1,557
Habari za majukumu,

Naitaji kusoma degree ya Open University nahitaji kujua utaratibu wa namna ya kusoma kwa huo mfumo. Nini nikifanye na changamoto zipi zinaweza tokea katika hili!

Asante
 
We mwizi tu.
Unataka upate ugali wa leo kupitia ndugu aliyeuliza.

Nikushauri: FANYA KAZI ACHA UDWANZI
Umenikosea sana ndugu, nijipatie ugali kivipi??
Mimi nimesoma OUT Bachelor degree nilipomaliza nikaunganisha na Master's degree hapa hapa OUT. Sasa kumwambia aje PM nimpe namba zangu ili nimpe A -Z kuhusu OUT mana mara nyingi huwa sipo online nimefanya kosa?? Ila yote heri tu.
 
Pole mkuu, pengine umekwazika sana, hii JF bhana. Huenda aliyeku reply alikuwa ana nia nzuri tu sema communication skills ni issue kwa tulio wengi.

Sasa tunaomba( upatapo wasaa) ufunguke kila unaloliona linafaa kuhusu hii thread, hakika utakuwa umesaidia watu wengi sana ikiwa ni pamoja na mtoa mada, sio leo tu hata kesho pia.
 
2022
Vipi ukiangalia mfumo mzima uko vizuri? Ulianza kusoma mwaka gani na kozi ipi
Nilianza 2022 Mfumo upo vizuri tu.. ila hamnaga fair yoyote kama watu wanavozani, ukiwa husomi mitihani unafeli unaona, but binafsi changamoto nilizozipata ni pesa na muda wa kujisomoea
 
2022

Nilianza 2022 Mfumo upo vizuri tu.. ila hamnaga fair yoyote kama watu wanavozani, ukiwa husomi mitihani unafeli unaona, but binafsi changamoto nilizozipata ni pesa na muda wa kujisomoea
Asante kwa maelezo nasubiri na mimi nimeomba mwezi huu
 
Back
Top Bottom