Habar za humu ndani wakuu....
hiv ukiambiwa kigezo cha kusoma bachelor ya artechture ( UDSM )
wameandka lazima uwe na "two principal pass in chemistry,biology,physics,geography,or fine arts...
Nimeshakamilisha process zote hadi kusubmit form za kumbea mkopo online but kuwenye kipengele cha kuprint information zangu full package nikiclick inakuja blank webpage, nini chakufanya ili...
wakuu habari
nlikua naomba mwenyewe joining instruction ya Tanzania public service collage -TABORA course ni BASIC TECHNICIAN CERTIFICATE IN SECRETARIAL STUDIES chuo kipo tabora.
Ninaye rafiki zangu wamechaguliwa geomatic na geoinformatics ardhi university je hizi kozi ndo zikoje,zinahusika na nini,wanaajiriwa WAP,je mkopa wanapataga na je ugumu au urahisi wake ukoje...
Nimemaliza kidato cha 6, nahitaji udhamini wa kimasomo. Nahitaji kusoma diploma in clinical officing.. Ufaulu wangu ni
Biology-C
Chemistry-C
Physics-C
Basic applied mathematics-B
General studies-D
Habari zenu wakuu?
Natafuta mtu anaweza kuniandikia business plan ya uhakika kabisa
Naomba unitafute pm na maelezo mengine yatapatikana huko
Thanks in advance
Moja kwa moja kwenye topiki...
Ninafikiria kujiunga na kusoma Law School of Tanzania. Hata hivyo nilikuwa na uhaba kidogo kifedha hivyo ninafikiria kuomba mkopo kutoka Bodi ya Mikopo. Je, Bodi ya...
Wana Jf naomba kuuliza jamani hv kwa wale walio maliza,kidato cha nne na kuchaguliwa moja kwa moja kwenda chuo kuna uwezekano wa kupata mkopo
ASANTEN PIA NATEGEMEA MAJIBU MAZURI [emoji120]...
Ningependa kufahamiswa kuhusu suala la uhakiki,kabla rita system haija collapse kuna wale ambao tulishahakiki na nakala zetu za vyeti tulipata.
Je baada ya system yao kuharibika je na sisi...
wakuu habari zenu.kwa wale mliofanikiwa kutuma uhakiki wa vyeti RITA.mimi nna kama week 2 nmetuma vyeti.lkn cha ajabu nkingia kwenye account yangu inaandka no record found ila wakat natuma...
habari zenu wadau natumaini wote muwazima you mwenye kuifahamu shule ya white lake anieleze bei zake,ufaulu wake Na mengine nnayotakiwa kuyajua kabla sijajiunga pale
Wadau kama mada ilivo hapo juu,nikiingia nacte katika application online nakutana na category moja tu ya HEALTH AND ALLIED SCIENCE sasa vipi kwa zile kozi zingine tofauti na hio naweza apply...
Tangu kilipoanzishwa tu kimekua na changamoto nyingi zikiwepo usajili na kutofata utaratibu wa Tanzania.
Kwa waliomaliza 2013 rudi nyuma hawatoi transcript.
Baadhi ya couruse zao hazitambuliki...
Microsoft Excel ni Program ya kimahesabu inayotumika kuhifadhi data katika muundo wa nambari, maneno, grafu na chati. Microsoft Excel inatumika katika makampuni biashara na katika taasisi...
Habari wanajukwaa
Nina mtoto wa kike mwenye umri wa miaka mitano(5yrs) kutokana na pilika pilika zangu za kibiashara kutotulia sehemu moja,je umri wake unafaa kumpeleka shule ya boarding...