We pambana na course yako ya nyuki utasugua kitaa mpaka uote upara,
Je kama tuko kwenye ajira tunaongeza ujuzi[emoji2][emoji2]Nawaonea huruma na course zenu. Af mkinaliza shule mnaanza kusumbua Ooh natafuta kazi, Nimesoma B. in Int. Relation, sasa sijui unataka uwe balozi au vp.
Tafuteni course zenye Wide range ya Employability