ARTECHTURE

ARTECHTURE

Night Watch

JF-Expert Member
Joined
Apr 4, 2017
Posts
2,102
Reaction score
2,154
Habar za humu ndani wakuu....

hiv ukiambiwa kigezo cha kusoma bachelor ya artechture ( UDSM )
wameandka lazima uwe na "two principal pass in chemistry,biology,physics,geography,or fine arts..

......ss swal langu linakuja hapo kwenye fine arts huwa inamaanisha nn???
.. Ni yapo hayo masomo yanayohusisha fine arts ni hiz hiz HKL au kuna maana nyengine tofauti na hii???

Msaada wenu tafadhal kwa anayefahamu
 
Naombeni msaada kwa hili kuna kijana kanitumia nimekopi kama ilivyo kwa anaye fahamu naomba msaada kufahamishwa.
 
Habar za humu ndani wakuu....

hiv ukiambiwa kigezo cha kusoma bachelor ya artechture ( UDSM )
wameandka lazima uwe na "two principal pass in chemistry,biology,physics,geography,or fine arts..

......ss swal langu linakuja hapo kwenye fine arts huwa inamaanisha nn???
.. Ni yapo hayo masomo yanayohusisha fine arts ni hiz hiz HKL au kuna maana nyengine tofauti na hii???

Msaada wenu tafadhal kwa anayefahamu
Fine arts ina maana masomo au kozi za uchoraji. HKL na kombi nyingine za H kunani zinaitwa arts na sio fine arts!!
 
INAANDIKWA ARCHITECTURE na wala sio Artechture halafu hii kozi kama sio mvumilivu na hauna " designing mentality " usije ukaisoma...Anyway follow your heart.

Fine arts inafundishwa kwenye shule za Technical,inahusiana na mambo ya michoro.

Architecture inahusiana na mambo ya design,design of spaces(space inaweza kuwa nyumba and the like.
 
Shukrani kwa maelezo yako mujarabu.
 
Back
Top Bottom