UHAKIKI VYETI

UHAKIKI VYETI

handsometz

Member
Joined
Jun 14, 2019
Posts
49
Reaction score
24
wakuu habari zenu.kwa wale mliofanikiwa kutuma uhakiki wa vyeti RITA.mimi nna kama week 2 nmetuma vyeti.lkn cha ajabu nkingia kwenye account yangu inaandka no record found ila wakat natuma walisema maomb yamepokelewa nisubilie majibu ndan ya sku tatu.
nyie upande wenu vp
 
Ingia kwenye account yako then mkono wako wa kulia juu utaona vimstari vitatu vifungue then angalia sehemu iliyo andikwa sentItem mkono wa koshoto baada ya kuvibonyeza hivyo vimstari kama ukikuta taarifa zako ulizotuma then fresh la kama hazipo you need to send again
 
Okay brother. Hii Ndio elimu tuitakayo nimeona mkuu berikiwa 64-bit
 
Samahani, je kwa ambao tulihakiki mapema mwezi wa tano na majibu tukapata tunatakiwa kuhakiki upya?
 
Samahani, je kwa ambao tulihakiki mapema mwezi wa tano na majibu tukapata tunatakiwa kuhakiki upya?
pia namimi ningependa kujua hili maana kunataarifa znazagaa za kurudia kuhakiki, na pia acc zetu 2lizofungua kwanzia mwez huo wa tano kuzi acces ni ngumu
 
pia namimi ningependa kujua hili maana kunataarifa znazagaa za kurudia kuhakiki, na pia acc zetu 2lizofungua kwanzia mwez huo wa tano kuzi acces ni ngumu
Km ulikihifadh haina haj bt km ndo kipo kwenye accnt unatakiwa ufanye upya
 
Subiria tu hata mm ilikuwa hvyhvy lakini baadaye wakanirudishia majibu ndani ya siku 8
 
Jamani mi ndo nataka kuanza leo naombeni utaratibu gani upo wa kuhakiki nisije kosea
Nataguliza shukrani
 
Vyuo sina uhakika ila heslb niliona tangazo kuwa ni tarehe moja july

Mkuu limefunguliwa ila kuna sindofahamu fulani. Maana ukishalipia wanasema bonyeza reload mpaka sasa ukifanya hivyo no results
 
*KUTUMA MAOMBI BODI YA MKOPO (HESLB) /UHAKIKI WA VYETI RITA/ UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) 2019/2020.*

[emoji654]Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha sita na unataka kutuma maombi ya mkopo (HESLB)?

[emoji654]Je, wewe ni muhitimu wa kidato cha 4 au 6 na unataka kutuma maombi ngazi ya cheti au diploma kupitia NACTE?

[emoji654]Je, wewe ni mtu uliyehitimu au kuendelea na elimu ila ungependa kutuma maombi ya mkopo au kufanya udahili wa ngazi ya cheti au diploma (HESLB)?

[emoji654]Je, unaye mdogo wako au ndugu mwenye uhitaji wa kutuma maombi bodi ya mkopo au udahili ngazi ya cheti kwa mwaka 2019/2020?

*TUNATOA HUDUMA YA KUTUMA MAOMBI YA MKOPO (HESLB)\ UHAKIKI WA VYETI RITA NA UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA (NACTE) POPOTE ULIPO.*

PIA KWA WOTE WENYE UHITAJI WA USHAURI AU MASWALI KUHUSU UOMBAJI WA MKOPO/ UHAKIKI WA VYETI RITA NA UDAHILI NGAZI YA CHETI NA DIPLOMA KWA MWAKA 2019/2020 HUDUMA INAPATIKANA.

TUNAPATIKANA UBUNGO, DAR ES SALAAM KWA MAWASILIANO PIGA SIMU AU TUMA UJUMBE KWA NAMBA 0752026992/ 0737728947.

N.B. HUDUMA INAPATIKANA POPOTE ULIPO DAR ES SALAAM NA HATA MIKOA MINGINE PIA.
KARIBUNI SANA 0752026992 /0737728947.
 
Mkuu limefunguliwa ila kuna sindofahamu fulani. Maana ukishalipia wanasema bonyeza reload mpaka sasa ukifanya hivyo no results
Samahani huwa nachelewa kureply....inatakiwa usubiri kidogo within two min then ndio ureload
 
Ingia kwenye account yako then mkono wako wa kulia juu utaona vimstari vitatu vifungue then angalia sehemu iliyo andikwa sentItem mkono wa koshoto baada ya kuvibonyeza hivyo vimstari kama ukikuta taarifa zako ulizotuma then fresh la kama hazipo you need to send again
Ukiona taarifa zako inamaana ushahakikiwa????
 
Back
Top Bottom