Msaada

Msaada

64-bit

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
298
Reaction score
147
Nimeshakamilisha process zote hadi kusubmit form za kumbea mkopo online but kuwenye kipengele cha kuprint information zangu full package nikiclick inakuja blank webpage, nini chakufanya ili niipate hiyo form yenye taarifa zangu zote kadiri ya maelezo yao?
 
Sorry mkuu hivi hata wanaoomba online inabidi watoe kwanza fomu za kuzungusha Kwa mwenyekiti na mahakamani? Au unajaza taarifa zako online tu
Kuna hatua ukifika utapewa form za kuzungusha kwa aajili ya saini utakuwa unapewa maelekezo tuu
 
Back
Top Bottom