UHAKIKI RITA

Night Watch

JF-Expert Member
Apr 4, 2017
2,006
1,956
Ningependa kufahamiswa kuhusu suala la uhakiki,kabla rita system haija collapse kuna wale ambao tulishahakiki na nakala zetu za vyeti tulipata.

Je baada ya system yao kuharibika je na sisi tunatakiwa kuhakiki upya japokuwa nakala zetu tunazo.

Nimejaribu kuwapigia rita lakini simu haipokelewi ipo busy,nimekuja kuuliza hunu huenda kuna mtu ana ufahamu kuhusu hili.

Nawasilisha kwenu wana JF
 
Back
Top Bottom