Je, hali na hatima ya uhuru wa kitaaluma katika vyuo vikuu vya Afrika ikoje? Ni kwa jinsi gani na kwa nini vyuo vikuu barani Afrika vimepoteza uhuru wao wa masomo hapo kwanza? Je, ni aina gani...
Mfumo wa Bodi ya Mikopo HESLB, ni zaidi ya wiki sasa tunapata shida katika kutuma maombi, nawapigia simu zao hawapokei, tupewe hata maelekezo tujue nini kinaendelea, ni kero kubwa aise.
Ni kwamba...
Naomba kuwasilisha kero hii kupitia jukwaa hili labda Serikali inaweza kuchukua hatua hitajika ili kuweka mazingira salama kwa ajili ya usalama wa afya za Wanafunzi na kutoa mazingira rafiki kwa...
Mimi ni Mwanafunzi wa Chuo kimoja hapa Dar es Salaam, ninasomea Stashahada Mwaka wa Pili..... nilikuwa na changamoto au kero kuhusiana na usajili wa Vyuoni na NACTEVET ambapo hata mimi nimekutwa...
Wakuu wana JF, hope mpo salama.
Ni graduate mwenye uchu wa kujua programming na mambo ya system security(cyber) kwa udani, nimejaribu kupitia youtube tutorials ila bado sijaridhika, nimetumia...
Habari zenu wakuu
Nimemaliza kidato cha 6 PCB mwaka 2024 Na kubahatika kupata 1.9
Katika process ya kuomba vyuo, nikaja kupata round ya 3 ambayo ndo ya mwisho kabisa chuo cha kampala, kozi MD...
Habari wakuu, mwenye kujua course ambazo mtu ni wepesi kujiajiri na kupata kazi hata kabla hajamaliza kusoma na baada ya kumaliza kusoma kazi ni uhakika. Nitaanza na baadhi ambazo nazifahamu.
1...
Kuna kero kubwa sana kwenye kufanya application ya Chuo cha DIT Campus ya Dar es Salaam upande wa Bachelor kuna Step 3, ukifika unaambiwa uweke Index Number ya Form Six, hata ukiweka mfumo haukupi...
Habari wana jf kuna dogo kamaliza form 4 mwaka jana .kaniombs ushauri wa kitu cha kusoma mm nimeshauri aende veta tu. Dirisha likifunguliwa kama kunaushauri tofauti na wangu naomba unisaidie...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimetangaza kuwa hakitapokea wanafunzi wa shahada ya kwanza kwa mwaka wa masomo 2025/26 katika baadhi ya kozi za ualimu.
Taarifa hiyo imetolewa na Ofisi ya Naibu...
HII NDIO ORODHA YA KOZI ZA VETA AMBAZO UKISOMA UNAWEZA KUZIBADILISHA KUWA WAZO LA BIASHARA
Unapojifunza moja ya kozi hizi kutoka VETA, hupati tu ujuzi wa ajira bali unapata nafasi ya kuanzisha...
Ni jambo la kusikitisha na la kushangaza kuona jinsi ambavyo Wizara ya Elimu na baadhi ya taasisi zake zimeanza kuingilia kwa nguvu na pupa maandalizi ya mitaala ya vyuo vikuu, ikiwemo hatua ya...
Habari za muda huu wakuu,
Naomba mnisaidie kujibu swali tajwa hapo juu, ipi ni kozi nzuri kusoma Kati ya hizo kwenye nyanja ya kuajiriwa pamoja na kuajiriwa.
Japo lengo langu kubwa ni kujiajiri...
JE, UNA NDOTO YA KUWA ENGINEER, AU DOCTOR?
Timiza ndoto zako sasa. Karibu (MAPAMBANIO CENTRE- TEGETA NYUKI) ... uwe Master kwenye PHYSICS, CHEMISTRY, BIOLOGY na MATHEMATICS (O LEVEL & A LEVEL)...
Kila mwaka idadi ya wanafunzi wa kidato cha sita inaongezeka sambamba na ufaulu. Mwaka huu pekee, zaidi ya wanafunzi 125,000 wamepata sifa za kujiunga na masomo ya shahada ya kwanza (Degree), Kati...