Habari,
Kuna kero kuhusu kozi ya Industrial Engineering Management inayotolewa na Chuo Kikuu cha Mzumbe. Ajira zinazohusiana na kozi hii hazijawahi kuonekana kwenye Ajira Portal, licha ya kuwa...
Umemaliza kusoma diploma ya clinical medicine miaka walau mitatu iliyopita. Ukapiga kazi ukiwa na ndoto ya kuongeza elimu. Ila serikali wakarudisha advanced diploma of clinical medicine (AMO). Je...
Nina changamoto, nilihitimu CHUO KIKUU IRINGA fani ya Utalii (BACAT) -2024, tukiwa hapo kuna fedha za ada tulilipa na kuzidisha kwa kuwa Bodi ya Mikopo ilichelewa kufanya malipo, hivyo mpaka...
Habari zenu
Naulizia hapa wapi panafaa niende kusoma na penye unafuu wa soko la ajira
Bachelor degree in accounting and transport finance-NIT
Bachelor degree in Banking and finance -CBE
Habari za leo wakuu wa JamiiForums?
Hivi majuzi nilikutana na ujumbe fulani mzito uliozua tafakari kubwa kwenye mtandao, ukisema hivi:
"Elimu si ufunguo wa maisha, kwani ufunguo bila mlango...
Kwa Hali iliyopo sasa mnapambana na ELNINO na Hadi ratiba zenu mmebadilisha kuanzia kufanya mtihani Hadi tarehe za kufunga shule
Je Kwa Nini hamkatazi Haya mashule binafsi wanaolazimisha kupeleka...
Nini kimetokea kupelekea tarehe ya kufungwa shule kubadilishwa kutoka tarehe 4 Disemba 2026 ya awali mpaka mapema tarehe 13 Novemba?
Kuna mtu anazo data na information kuhuwu hili?
Jamani Tunaombeni Serikali iondoe kigezo cha Mathematics ili kujiunga na Bachelor Degree kwa sisi tunaotaka ku Uppgrade Nursing ngazi ya Bachelor tunashindwa kuendelea mbele kwa kigezo hicho...
Chinese Government Scholarship (CSC Scholarship), is the one of the world’s largest fully funded international scholarship programmes. Sponsored by the Chinese Government through the China...
Wakuu, natafuta shule ya sekondari kwa mtoto wa kike, ambayo wanafunza maadili mema na kusaidia kurekebisha tabia. Naomba msaada kwa mwenye kujua shule za namna kama zipo Tanzania. Imekuwa...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeanza utaratibu wa kuwatoza wanafunzi malipo kwa ajili ya Carryover na Supplementary Examinations, utaratibu ambao umeanza kutumika hivi karibuni katika mwaka wa...
Malipo ya refund chuo cha MUST mbeya hayatolewi licha ya kufuata taratibu zote za kiuongozi huku tukiambiwa kwamba anasubiriwa mkuu wa chuo asaini toka mwaka jana hadi sasa hamna kinachoendelea na...
Ninayo heshima kuwasilisha kero yangu kuhusiana na ucheleweshaji wa kurejeshewa fedha za ada nilizolipa kabla ya kupata mkopo wa elimu ya juu.
Mimi ni mhitimu wa Chuo Kikuu cha Sayansi na...
WATOTO KUWAHI SHULE ALFAJIRI: JE, NI MAFANIKIO YA KIELIMU AU TISHIO KWA AFYA?
Na Dickson Kapungu Kutoka Songwe.
Watoto kuwahi shule alfajiri imekuwa sehemu ya maisha ya kila siku kwa wanafunzi...
Hii si hadithi ya kusimuliwa bila ushahidi, nina vielelezo vinavyothibitisha ninachokizungumza.
Nimekuwa nikijiuliza kama niwashirikishe hapa kwa kuwa wahusika wanaonekana kuwa na kiburi na...
Katika makosa niliyofanya katika maisha ni kujiunga na masomo ya PhD pale Open University of Tanzania. Ningelijua ningeeda UDSM. Kwa matatizo ninayopitia sishauri mtu akasome PhD pale OUT...
Niko katika Hali mbaya naombeni ushauri wenu .
Mm ni mwanachuo mwaka wa pili Bachelor of science in nursing.
Chuo kikuu kilichopo Dodoma (private) ,ambapo nalipa Ada 3M.+compulsory charges(350k)...
Mimi ni mwanafunzi niliyemaliza Diploma (Level 6) mwaka huu katika Chuo cha Maendeleo ya Jamii Tengeru (TICD), Tengeru, Arusha.
Matokeo ya mitihani yetu yalitolewa tangu tarehe 12 Agosti 2026...