Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Habari, Naomba msaada kidogo wanajukwaa. Nilikuwa na tatizo kwenye cheti cha kuzaliwa na nimefanikiwa kupata deed poll tayari. Je, natakiwa niipeleke RITA kuhakikiwa au naituma heslb moja kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu nimemaliza chuo kikuu cha ushirika moshi diploma ya uhasibu na nimepata overall GPA ya 4.1 na nataka kuapply mzumbe, UDSM na UDOM. Je, naweza kupata kimoja wapo hapo Nina division 4 ya 27...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wakuu, Naomba msaada nhitaji kufanya application kwa kozi ya business administration lakini kuna vyuo hivi viwili CBE na TIA pote kozi inapatikana nilikuwa naomba msaada kwa mtu mweny...
1 Reactions
14 Replies
8K Views
The principal of Mwanza Institute of Hotel and Tourism Management, is announcing for new Intake begin on 09/01/2023 The college offering the following certificate level courses:- 1.HOTEL...
0 Reactions
3 Replies
11K Views
Taifa letu – taifa lolote – ni zuri na mahali pazuri pa kuishi kama raia wake watalifanya liwe hivyo. Uongozi wake unaweza kuwa mzuri, mbaya au usiojali lakini kama watu wake wameamka (ki-elimu?)...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari za majukumu wapambanaji, naombeni ushauri kutoka kwenu. Hivi kati ya Masters of Business Administration na Masters of Economics (University of Dar es salaam), which one is more valuable in...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu naombeni msaada kuhusu hizi course na utofauti wake, clinical officer, assistant doctor na clinical medicine?
0 Reactions
8 Replies
16K Views
Kati ya hizi mbili ipi inachukua muda mfupi kujua kuliko nyingine?
0 Reactions
0 Replies
907 Views
Habari wakuu? Naombeni ushauri wenu, mm nimesoma FTC or ordinary diploma in Mechanical Engineering under government spornsership ! Sikupitia advance Lakini nilipokuja mtaani nakuona hali ilivyo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari zenu wanna jf. Nina diploma ya accounting nimepata kazi ila sina cheti cha form four. Mwenye mdada ninapoweza kukipata anijulishe plz Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
19 Replies
20K Views
Kwa mtu aliyesoma IT halafu kwa bahati mbaya akadisco mwaka wa pili au wa kwanza anaweza akajiajiri kwenye computer maintenance?
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Wakuu habr naomba kujulishwa tofaut ilypo kati ya bachelor of science with education na bachelor of education with science
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna hii kozi ya cellular phone maintenance inayotolewa na veta kwa miezi mitatu kwa upande wa software na hardware, sasa je swali ni hivi, kuna uwezekano mtu ukajua software na hardware kwa miezi...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nina GPA ya 2.8 diploma natamani kusoma degree mwakaa huna ruhusa nimepewa job naomba mnishauri.
0 Reactions
4 Replies
734 Views
Nimeona mahali hiyo degree programe, naomba kwa wenye ujuzi hiyo CTS ni masomo gani au kitu gani kwenye nyanja ya ualimu ?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu! Wakuu, natafuta nafasi ya Kidato cha Tano kwa shule binafsi ya Wasichana kwa tahasusi ya EGM. Shule iwe katika moja ya mikoa ya Mbeya, Iringa, Dodoma, Morogoro, Tabora au...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari za muda huu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ningependa kufahamishwa utofauti ktk hizo engineer na jinsi unavyoweza pata ajira either kwa kuajiriwa au kujiajiri
1 Reactions
47 Replies
11K Views
KODI YA ZUIO NI NINI? (Withholding Tax) Ni kiasi kinachokatwa wakati malipo yanapofanyika kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine. "Eng Evans amepanga nyumba kwa Bw. Noah kwa ajiri ya kufungua...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Watoto ama wanafunzi wanaosoma English medium school kichwani hamna kitu wanachojua ni kuongea kiingereza tu... Ila other subjects nothing kabsa yaani hata wa shule za kata bora wana uelewa mkubwa!
5 Reactions
119 Replies
14K Views
Msaada jamani kulingana na kusoma huku nafanya kazi za gereji na changamoto za hapa na pale, nikapata GPA ya 2.8 katika Department ya uhasibu Ila lengo mama nataka nipate degree naombeni mawazo...
0 Reactions
18 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…