Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wafanya biashara wengi duniani wao wanaamini kipimo sahihi cha mtu kufanikiwa kibiashara ni MIAKA KUMI hivyo ukikosea kucheza karata yako vizuri leo ukiwa kijana maisha yako yajayo uzeeni utakiwa...
2 Reactions
2 Replies
910 Views
Darasa la saba wamemaliza mitihani yao mwisho. Hongera kwa watoto wote na pia wazazi na walimu. Hongera kubwa kwa jamii yote iliyowapa nafasi watoto kusoma kwa utulivu. Wazazi wengi watakuwa busy...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
At the end of this message you will have two choices! What will you do? ...you make the choice.?? Don't look for a punch line, there isn't one. Read it anyway. My question is: Would you have...
1 Reactions
0 Replies
579 Views
Mzee wangu amenichagulia nikasome University of Iringa Je? wapo vizuri kwenye utoaji Elimu ya IT, na chuo nicha serikali au binafsi.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
kweli mtu akimaliza diploma ya CO anaweza kusoma degree hii?ni miaka mingapi na vyuo vinavyoitoa vpo vngapi Tz.?msaada
0 Reactions
4 Replies
5K Views
Ni wapi naweza kupata kamusi za kidijitali kwa viziwi ambazo zimezinduliwa siku chache na wizara ya elimu? Na zinauzwa shilingi ngapi?
0 Reactions
0 Replies
766 Views
Nmetumiwa admission documents laikini admission letter sijatumiwa Niki click sehem ya download admission letter zina open other admission documents na sio admission letter, chuo ni muhas , msaada...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu habari zasaizi, naomba msaada juu ya faculties tajwa hapo juu. Zinginezo ni Bachelor of Commerce in Banking and Financial services, Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality...
0 Reactions
86 Replies
10K Views
Habari za muda huu wana JF, Naomba kujulishwa kuhusu usafiri wa kutoka DAR mpaka Chuo Cha Ualimu Vikindu,nauli ni kiasi gani na magari yanayoelekea wapi natakiwa kupanda? Pili,kama kuna mtu...
0 Reactions
8 Replies
10K Views
Ndugu, mbona kwenye account za SUA hawajaweka comment kama mwombaji amepata au la?
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Nimechaguliwa SUA lakini nipo kwenye multiple selection, nataka ku-confirm SUA lakini confirmation code sijatumiwa, nawezaje kuipata hiyo confirmation code? Na mwisho wa ku-confirm ni lini?
0 Reactions
6 Replies
5K Views
How I murdered my Student. I was in class that fateful Friday afternoon teaching my students when she raised her hand to ask a question. I permitted her and she asked a rather too simple...
0 Reactions
2 Replies
575 Views
Kwa mwenye kufahamu kuhusu nafasi kilichopo chuo kikuu cha Zanzibar au ZU? Kulinganisha na Vyuo vikuu Afrika Mashariki? Kinamilikiwa na nani? Je ndio kilikuwa kinaitwa SUZA? Katika soko la ajira...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wana JF polen na pia hongeren kwa mihangaiko ya dunia, Wakuu Nina Rafiki yangu Anahitaji msaada wa mawazo yenu Huyu jamaa amemaliza six mwaka huu Alivyorudi2 kutoka shule (Baada ya...
0 Reactions
2 Replies
909 Views
Udom watoa schorship za master kwa watu wa engneering,science na business.GPA kuanzia 2.7,zaidi angalia kwenye attach hio [emoji116]
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, Hii kozi ya Science and laboratory technology inahusiana na nini zaidi. Nimeifatilia lakini napendelea maoni kutoka kwenu zaidi na kwa kipindi hiki ina unafuu kidogo katika upande wa...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Husika na kichwa hapo juu. Inawezekana ku unconfirm selection kwa chuo cha UDOM? Maana katika account ya application hawaonyeshi sehemu ya ku edit. Kuna mdau alitaka aende Mzumbe, huku tayar...
1 Reactions
2 Replies
4K Views
Habari za muda huu vijana, Jana katika pitapita zangu website za vyuo mbalimbli nilifanikiwa kuingia website ya chuo kikuu STELLA MARIS kilichopo Mtwara mjini, ni SAUTI BRANCH Ila kitu...
1 Reactions
10 Replies
11K Views
Habari wana JF?Mim ni mwajiriwa kada ya Elimu nilikuwa mechaguliwa bachelor degree in road and railway transport logistics management(NIT), Shida yangu kubwa ni kupata admission letter ya chuo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Naomba kuuliza mtu Akipata Sup anaweza punguziwa asilimia za mkopo wake? Pia mtu anapomaliza mwaka mmoja kwenda mwingine anaweza kuongezewa asilimia kama alikua amepewa asilimia kidogo?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…