Bachelor of Commerce in Human Resource Management, Bachelor of Commerce in Accounting and Bachelor of Commerce in Entrepreneurship

Nyamwezi Boy

Member
Dec 15, 2019
81
211
Wakuu habari zasaizi, naomba msaada juu ya faculties tajwa hapo juu.

Zinginezo ni Bachelor of Commerce in Banking and Financial services, Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality management.

Maswali yanayohitaji majibu ni:-
- Ipi faculty bora kati ya hizo
- Soko lake na uhitaji kwa ujumla

Msaada wenu ndio muhimu sana
 
Mfano Facault of Education utakuta
... BAED
.. BED
.. PSYCHOLOGY
.. ECE
... ADULT

Mfano Health science facault utakutana na
.... CO
... Md
... dental
.. nursing
.. phamarmacy
.. environmental health
 
Inategemea na
... focus
... interest
... family status (financial and emotional)
.... personality
... an individual IQ capacity
... employment opportunity
Namimi ndio maana nimeleta hapa ili nipate ufafanuzi zaidi Mkuu,
Hasa katika uhitaji wa course husika katika Ulimwengu huu
 
Kumbuka
HRM ni kuwa boss
Mtu wa planing za rasilimali watu na kuzitumia effectivel

Accouunt
... Msimamizi wa fedha kwa ujumla
Mapato, expenditurea allocation of fund.

Entrepreneurship
... una base saana kwenye Creativity, innovation and Marketing issues
 
Pamoja na kwamba nimesoma masomo ya arts HKL ila vyuo vingine vina accept usome kama una credit "C" ya mathematics o-level. Kiukweli mi napendelea bachelor degree in Account and Finance
Yeah, Hata mie nataka ufafanuzi wa hii course
 
Wakuu habari zasaizi, naomba msaada juu ya faculties tajwa hapo juu.

Zinginezo ni Bachelor of Commerce in Banking and Financial services, Bachelor of Commerce in Tourism and Hospitality management.

Maswali yanayohitaji majibu ni:-
-Ipi faculty bora kati ya hizo
-Soko lake na uhitaji kwa ujumla

Msaada wenu ndio muhimu sana
Barchelor of Commerce in banking and financial services Hii imekaa poa kwakua ina nafasi nyingi za ajira i.e

1.Microfinance inst zipo nyingi sana
2.Bank inst.
3.Business development sector in diff companies
4.Marketing sector for many diff companies
5.Sales sector for diff companies
6.Self employment
7.Livelihoods projects
 
Back
Top Bottom