Science and Laboratory Technology

Science and Laboratory Technology

Mwanakulipata

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2018
Posts
720
Reaction score
1,210
Habari,

Hii kozi ya Science and laboratory technology inahusiana na nini zaidi. Nimeifatilia lakini napendelea maoni kutoka kwenu zaidi na kwa kipindi hiki ina unafuu kidogo katika upande wa ajira ama nalo ni janga kitaifa?
 
Habari, hii kozi science and laboratory technology inahusiana na nini zaidi..nimeifatilia lakini napendelea maoni kutoka kwenu zaidi...na kwa kipindi hiki ina unafuu kidogo katika upande wa ajira ama nalo ni janga kitaifa?

Ni nzuri ila haimuhusu aliyetoka advance
 
Inapatikana pale SUA kiongozi
Ya SUA ni tofauti, inabase sana kwenye biotechnology na Laboratory science, ingawa ina cover plants lakini inafahamika zaidi upande wa animals and humans (veterinary na medical). Hiyo ya vyuo vya technologia ndio ambayo siifahamu vya kutosha.
 
Sasa hapo kilichofanyika ni kwamba katika vyuo vya Technology enyewe wamezigawa kama kozi mbili tofauti..yaani kuna Biotechnology inajitegemea na kuna Laboratory science.
 
Ajira zipo mkuu, maabara za viwandani, shule za sekondari, vyuoni isipokuwa za afya, taasisi za utafiti, TFDA, GCLA, TPRI ni nyingi kwa kweli. Unaweza jiajiri pia.
Shukran mkuu
 
Back
Top Bottom