Zanzibar University kipo nafasi ya ngapi Afrika Mashariki?

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
997
827
Kwa mwenye kufahamu kuhusu nafasi kilichopo chuo kikuu cha Zanzibar au ZU? Kulinganisha na Vyuo vikuu Afrika Mashariki? Kinamilikiwa na nani? Je ndio kilikuwa kinaitwa SUZA? Katika soko la ajira Digrii zake zinapenya? Au nikipimo gani kinatumika kutambua nafasi ya chuo?
 
Back
Top Bottom